Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana! Pacquiao karudi kwao Ufilipino akitokea Marekani ! picha ziko hapa

on

pac8Bondia Pacquiao amerejia nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa Floyd Mayweather raia wa nchi hiyo walionyesha support kwake baada ya kutua.

pac5

pac10

pac3Pacquiao alionekana muda wote akiwa na furaha licha ya maumivu ya upasuaji wa bega pamoja na kutofanya kile alichokidhamiria katika pambano hilo lililoweka historia duniani lililofanyika May 2, Las Vegas, Marekani

pac2Pacquiao alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa

pac4

pac6

pac7

pac8

ndaniUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyezahapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahaukusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video yaAyoTVikufikie.

Tupia Comments