Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wolper kuhusu wanaodai ana wivu na Harmonize…vipi ana mpenzi mwingine?
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Wolper kuhusu wanaodai ana wivu na Harmonize…vipi ana mpenzi mwingine?
Habari za Mastaa

Wolper kuhusu wanaodai ana wivu na Harmonize…vipi ana mpenzi mwingine?

July 15, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mwigizaji staa wa Bongomovie Jacqueline Wolper amefunguka na kueleza kuhusu kuwa katika mahusiano na mwanaume mwingine ambaye kwa mujibu wake ni BFF yaani Best Friend Forever ingawa hawako mapenzini.

Kupitia The Weekend Chart Show ya Clouds TV, Wolper amesema hana wivu na mpenzi wake wa zamani Harmonize ambaye kwa sasa yuko mapenzini na mpenzi wa kizungu.

>>>”Tumeachana kama miezi sita hivi tulikuwa hatulewani. Huyu BFF yaani Best Friend Forever tuna kama wiki hivi. Tulikutana vizuri tu alianza kuniona kama miaka minne hivi before. Kinachonivutia kwake ni mpole na mkweli, kwa hiyo ni rafiki yangu mzuri sana.

“Mimi siwezi kuingia kwenye vita na siwezi kuwa na uchungu japo stress hazifichiki na furaha haifichiki. Kwa hiyo nyie mnaweza mkajadili. Vitu vya instagram siyo vya kweli vyote japo wanakuwa na vitu vyao vina ukweli kidogo.

“Huyu kaachana na mtu wake miezi miwili halafu mwezi wa tatu tukakutana. Kwa hiyo, hizo ni story tu wote tumekutana single ila tofautisha wale ni wapenzi na sisi ni BFF na tupo serious. Ni marafiki wa kweli. Mimi siyo mtu wa TV naye siyo mtu wa TV.” – Jacqueline Wolper.

Hali ya aliyeimba ‘Nitarejea’ na Diamond, waliwahi kuwa mapenzini?

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews
Victor Kileo TZA July 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hali ya aliyeimba ‘Nitarejea’ na Diamond, waliwahi kuwa mapenzini?
Next Article VIDEO: Muda ulioongezwa na TRA kulipia kodi za majengo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?