Habari za Mastaa

Good news ni kwamba video ya ‘malele’ ya Shilole ndio hii imetoka.

on

Shilole 2Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo ‘Malele’ iliyotayarishwa na director Khalfani, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako mtu wangu ili Shilole akipita baadae ajue watu wake wanasemaje.

millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments