Habari za Mastaa

Tuhuma za kubaka zilivyomkasirisha R.Kelly akakatisha interview ya TV na kuondoka…(+Video)

on

Staa wa muziki long time Marekani, Robert Sylvester Kelly a.k.a R. Kelly yuko kwenye hatua za mwishomwisho kuachia album yake ya Buffet, katika Interview iliyofanyika jana December 21 2015 imechukua headlines mitandaoni baada ya R. Kelly kususia interview hiyo katikati na kuondoka zake !!

Mtangazaji Caroline Modarressy-Tehrani alirudia kosa ambalo R. Kelly hakupenda, R. Kelly alimsisitizia kwamba hayuko tayari kuzungumzia stori yoyote mbaya iliyowahi kutokea siku za nyuma, kwa sasa anahitaji kuzungumzia ujio wa album yake, basi !!

KELLY

Mtangazaji huyo akamuuliza swali jingine kwamba anadhani fans wake wataipokea album yake kwa mikono miwili wakati R. Kelly tayari ana tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizowahi kuwafanyia wanawake siku za nyuma ?! R. Kelly aliinuka na kuondoka zake kabla hata hajajibu swali hilo.

Video hii hapa dakika nne za R. Kelly alivyokasirishwa mpaka kuondoka katikati ya Interview ya Huffington Post Live

https://www.youtube.com/watch?v=ZZja8I_-ZRM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments