Habari za Mastaa

Malkia Karen asimulia maisha ya Karen, Malezi ya Baba yake (Gardner) na alivyoishi na Jaydee.

on

Kutana na Exclusive Interview ya Malkia Karen, yumo kwenye list ya Waimbaji wapya kwenye bongofleva ambapo hii ni Interview yake ya kwanza kwenye On AiR with Millard Ayo iliyompa nafasi zaidi ya kujitambulisha, kusimulia maisha yake pamoja na malezi ya Baba yake ambae ni Mtangazaji Legendari Gardner G. Habash.

Malkia Karen ambae sasa hivi ana-bang na goma lake jipya la ‘tabu’ amesimulia pia alivyoishi na Lady Jaydee, alivyokwenda Jeshini, Chuo alichosoma, Baba yake kutokutaka Karen afanye muziki bali kazi nyingine tofauti na mengine, bonyeza play hapa chini kumtazama

UMESHATAZAMA GOMA JIPYA LA KAREN? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA ‘TABU’

ALIKIBA: “NI KWELI MKE WANGU KARUDI MOMBASA, NDOA MTIHANI…. NIMECHUKUA MUDA”

Soma na hizi

Tupia Comments