Habari za Mastaa

Hiki ndicho alichokisema Marco Chali kuhusu project zake mpya.

By

on

marcochaliProducer kutoka Mj Records Marco Chali ame-amplify kuhusu project anazotegemea kutoa ,miongoni mwa Project ambazo alizoahidi kuzitoa kuanzia February 3 ni project ya Madee ambayo kalishirikisha kundi toka ardhi ya 254 Kenya kundi la  P.Unit ambayo ni rmx ya Pombe yangu.

Project nyingine anayotegemea kuiachia ni kutoka kwa First Lady wa Marco Chali Foundation aitwae Dijah ambaye nae anaachia nyimbo yake ya Umeninogea,kuhusu project zilizopita kutoka Marco Chali Foundation ambayo ile ya Waka waka pamoja na ile ya Sijalewa lewa Marco Chali amesema wanakamalisha video ambayo wameshoot na E-Media.

Tupia Comments