Habari za Mastaa

Mchumba wa Nikk wa pili kafunguka Nikk kukataliwa kwao kisa muziki (video+)

on

Ni Joan Temu ambaye Mchumba wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nickson John ( Nikk wa Pili ) ambae leo Octoba 2, 2021  amehitumu masomo yake CPA.

Ayo TV & Millardayo.com ilipata nafasi ya kuzungumza nae, bonyeza play kusikiliza kile alichozungumza kuhusu Masomo na ishu za Familia.

NIKK WA PILI AMEELEZA ALIVYOKUWA AKIKESHA NA MTOTO ILI MPENZI WAKE ASOME, ASIMULIA ALIVYOLIPA ADA

SIO MCHEZO..!! MCHUMBA WA NIKK WA PILI AVUNJA RECORD CHUONI KWAO ASHINDA MILIONI ZAIDI YA 12

Soma na hizi

Tupia Comments