Habari za Mastaa

VIDEO: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa ya Prince ni hili la kumtoa Kim Kardashian kwenye stage

on

Wakati dunia inaomboleza kifo cha mwanamuziki nguli Prince Rogers Nelson ambaye alifariki April 21 2016 katika makazi yake ya Minneapolis, taarifa zilisema alikutwa amekwama kwenye lifti katika studio za Paisley Park.

Kim Kardashian alikuwa ni shabiki mkubwa wa Prince ambapo kwenye concert ya mwaka 2011, Prince alimwita Kim Kardashian kwenye stage ili kudance nae, lakini Prince alimshusha kwenye stage baada ya Kim kutokuonesha ushirikiano.

Kim Kardashia kipindi hicho akiwa na miaka 30 alitweet kuelezea kwa upande wake baada ya tukio hilo…….>>> ‘I was so nervous I froze when Prince touched me!!!

kim 3 twit

kim 1 kim 2

ULIIKOSA MANENO YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KURUDI TANZANIA APRIL 10 2016? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments