Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Papii Kocha na Joto DSM Kuna nini tena?

on

Mwimbaji Joto DSM amefanya mahojiano na Ayo Tv na amefunguka kuhusu kufanya kolabo na Papii Kocha ikiwemo kuzungumza jinsi alivyoumia mpaka kutoa chozi baada ya kupata taarifa kuwa Papii Kocha amehukumiwa kifungo cha maisha.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho alichozungumza Joto Dsm .

PAPII KOCHA NA TATTOO YA JPM, NITAOA RAIS AKIKUBALI FASTA KADI YA HARUSI

Soma na hizi

Tupia Comments