Habari za Mastaa

Utaipenda!! Whozu alivyoimba wimbo wa Simba kwenye After Party Kidimbwi Beach

on

Ni Septembe 19, 2021 baada ya kufanyika kwa Shamra Shamra za Simba DAY sasa wapenzi wa burudani walijumuika katika chimbo liitwalo Kidimbwi Beach ambapo kulifanyika After Party ya kusheherekea kilele cha wiki ya Simba yaani Simba DAY.

Sasa hapa nimekusogezea video hii ushuhudie msanii Whozu akiimba wimbo maalum wa Simba SC.

Tupia Comments