Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Mahakama imemuachia huru Mbunge Wilfred Lwakatare
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Breaking News > BREAKING: Mahakama imemuachia huru Mbunge Wilfred Lwakatare
Breaking News

BREAKING: Mahakama imemuachia huru Mbunge Wilfred Lwakatare

September 21, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Leo September 21, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ‘DPP’ kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi dhidi yake ya kula njama ili kutenda kosa iliyodumu kwa miaka minne na nusu.

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa wanaomba kesi hiyo iondolewe chini ya kifungu cha 91(1) cha Mwenendo wa Makosa ya Jinai kilichofanyiwa marekebisho 2002.

Kishenyi ameeleza kuwa sababu ya kuomba shauri hilo liondolewe ni kwa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendelea na kesi hiyo ambapo baada ya kueleza hayo, Hakimu Simba amesema ameifuta kesi hiyo na mshtakiwa (Lwakatare) yupo huru.

Awali, DPP aliondoa maombi yake dhidi ya Lwakatare, kuhusiana na shtaka la ugaidi dhidi yake katika Mahakama ya Rufaa ambayo aliyafungua akiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio kuhusiana na uamuzi wa Mahakama Kuu kumfutia Lwakatare mashtaka ya ugaidi.

Katika kesi hiyo, Lwakatare na mwenzake Ludovick Rwezaura, walikuwa wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la kula njama za kufanya vitendo vya kigaidi kwa lengo la kumdhuru kwa sumu aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la Mwananchi, Denis Msacky.

Mashtaka mengine yalikuwa ni ya ugaidi, wakidaiwa kuandaa mikutano ya kupanga makosa ya kigaidi na kufadhiri vitendo vya kigaidi.

#BREAKING: Mahakama imemuachia huru Mbunge Wilfred Lwakatare baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi dhidi yake #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/P37bJg2XwV

— AyoTV (@ayotv_) September 21, 2017

“RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza naye, nimempa siku 3” – MUSUKUMA

You Might Also Like

Serikali yaweka wazi kutotangaza shule bora

‘Ondoeni dhana ya rushwa Mahakamani’

Wanafunzi Sekondari 7,457, Msingi 1,554 wapata ujauzito

Dizeli, mafuta ya taa yashuka bei

Ndugulile aomba vivuko vibinafsishwe

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo September 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article IGP Sirro kawataka Wananchi wa Mererani kulinda miundombinu
Next Article BREAKING: Zitto Kabwe kafikishwa Dodoma, amewekwa Central Police
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?