Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Dj Khaled kusikika Kwenye filamu ya ‘Aladdin’ ya Will Smith (+Audio)

on

Baada ya Dj na Mtayarishaji wa muziki maarufu nchini Marekani Dj Khaled kuachia Album yake ‘Father of Asahd’ siku kadhaa zilizopita sasa Mwigizaji na Muimbaji Will Smith ambaye tayari ameileta filamu ya uhuishaji (animation) ‘Aladdin’ aliamua kuileta ngoma ya pamoja ‘Friend Like Me’

Inaelezwa kuwa ngoma hiyo imetumika kwenye filamu hiyo ambayo imeongozwa na Guy Ritchie ambapo toleo la filamu ya kwanza ya ‘Aladdin’ ilikuwa mwaka 1992 na wimbo wa ‘Friend Like Me’ uliimbwa na Robin Williams na hivyo kueleza kuwa wamefanya marekebisho kuwatumia Will Smith pamoja na Dj Khaled kwenye toleo jipya ili kufanya mabadiliko kwenye nyimbo hiyo.

Filamu hiyo ambayo iliachiwa rasmi May 25,2019 kwenye kumbi za sinema ( Movie theatre) Inaelezwa kuwa baadhi ya watu waliipokea vizuri na kutoa maoni yao kuhusu ubunifu uliotumiwa ndani ya filamu hiyo.

VIDEO: WAMACHINGA WAZUNGUMZIA KUHAMISHWA MWENGE, CHANGAMOTO ZA WALIPO HAMIA

Soma na hizi

Tupia Comments