Russia: Serikali yapiga marufuku matumizi ya iPhone kwa viongozi wake.
Ofisi ya Rais wa Russia imewataka maofisa wa nchi hiyo kutotumia simu za…
NPCC:Zaidi ya malalamiko 70,000 kuhusu unyanyasaji wa kingono yasajiliwa idara ya Polisi.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza imetangaza kuwa zaidi ya malalamiko…
WHO : Watu 34,200 wanaweza kufa kutokana na matokeo ya ukame Somalia.
WHO ilionya hapo awali kwamba karibu watu 100,000 nchini Somalia wanakabiliwa na…
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Huku maandamano yakiwa kwenye kamata kamata na sitisho nchini Kenya,kukishuhudiwa machafuko makubwa…
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Lawrence Paul Anderson mwenye umri wa miaka 44 alifanya mauaji hayo mwaka…
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Siku kama ya leo miaka 67 iliyopita sawa na tarehe 20 Machi 1956,…
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Serikali ya Taliban imetangaza rasmi kuwa, kwa mujibu wa hukumu ya kiongozi…
Mlipuko wa polio watangazwa nchini Burundi kulingana na ripoti ya WHO
Visa vya virusi vya polio vinavyotokana na aina ya 2 (cVDPV2) vimegunduliwa…
Rapa Snoop Dogg azindua lebo yake mpya ya kahawa “INDOxyz”
Rapa na mjasiriamali Snoop Dogg ameamua kupanua himaya yake ya biashara tena,…
UNECA: Uchumi wa Afrika kukua kwa asilimia 3.9 mwaka huu.
Kamati ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA), imesema uchumi wa Afrika…