Nimekusogezea Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya leo Mei Mosi 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa…
Picha17: Harmonize na Ruby, walivyoukamilisha usiku wa April 30 na Burudani Geita…
Usiku wa April 30, 2016 watu wangu wa Geita nao wameukamilisha mwenzi kwa kutazama burudani ya nguvu kutoka kwa mastaa wawili kutokea WCB Harmonize na nyumba ya vipaji THT Ruby…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo May 1 2016 kwenye, Hardnews na michezo
May 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
VIDEO: Arsenal Vs Norwich City leo April 30 2016 na matokeo ya mechi nyingine za EPL
Kwa watu wangu mashabiki wa soka la Ligi Kuu Uingereza, leo April 30 2016 imechezwa michezo 6 ya Ligi hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuona michezo hiyo, ambapo mchezo kati…
VIDEO: Usikutwe umetupa taka Dar es salaam kuna vijana wamepewa kazi
April 30 2016 viongozi mbalimbali, wasanii na wananchi walifanya usafi maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam na baadae kufanya matembezi kutoka maeneo ya Ilala, Temeke na Kinondoni na…
VIDEO: Mnaopenda kuvuta Sheesha kuna hili tangazo la Serikali
April 30 2016 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama amekutana na waandishi wa habari Dodoma ili kutoa elimu kwa umma juu ya madhara ya dawa za kulevya…
Rasmi kila jumamosi hiki ndio kitakuwa kinafanyika Dar es salaam
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, tangu iingie madarakani moja ya ajenda ambayo imekuwa ikisisitizwa ni kuweka mazingira safi ambapo, Rais Magufuli mwenyewe aliongoza kampeni…
Furaha ya ushindi wa Yanga haijaishia Taifa tu, leo April 30 wameiadhibu Toto Africans Mwanza
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo April 30 2016 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, klabu ya Yanga ilikuwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kucheza mchezo wake…
VIDEO: Kilivyohappen kwenye Pool Party 2016
Usiku wa April 29 2016 watu wangu waliozaliwa March na April walikutana kipande cha Regency park hotel mikocheni Dar es salaam Kwenye Pool Party. Usiku huo ulipambwa na wasanii kutoka kwenye…
PICHA 11: Jengo la ghorofa sita limeporomoka Nairobi na kusababisha vifo
Nairobi Nchini Kenya mvua zinazoendelea kunyesha wiki hii zimesababisha vifo ambapo mpaka sasa imeripotiwa watu 15 kufariki na kati ya hao 7 wamefariki baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka usiku…