VIDEO: Rais Magufuli alivyotangaza kutengua ukuu wa mkoa wa Anne Kilango Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli April 11 2016 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela na katibu tawala wa mkoa huo Abdul…
Safari ya Simba Kombe la FA imemalizika leo dhidi ya Coastal Union, matokeo yamenifikia
Baada ya michezo mitatu ya Kombe la FA kuchezwa na kushuhudia timu za Dar es Salaam Young Africans, Mwadui FC na Azam FC kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la FA,…
Taarifa kutoka Ikulu, sababu zilizoondoa Ukuu wa Mkoa wa Anne Kilango Malecela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala wa Mkoa huo Abdul Rashid Dachi,…
Picha 12: Bunge limebana matumizi limeokoa hizi bilioni ambazo zimerudishwa kwa watanzania
April 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, John Pombe Magufuli amepokea taarifa ya taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa 'Takukuru' na hundi ya shilingi bilioni sita zilizotolewa na Ofisi…
Jose Mourinho ameikataa ofa kutoka Syria, huu ndio mpango wa Louis van Gaal
Kama bado unajiuliza nini kitatokea ndani ya klabu ya Man United mwishoni mwa msimu, jibu bado litakuwa gumu kupata kwa kuhisi tu, April 11 2016 mitandao ya soka barani Ulaya…
VIDEO: Gardner G. Habash kaonyesha gari lake jipya siku sita baada ya mkataba mpya
Mtangazaji Gardner G. Habash amerejea CloudsFM toka alipoacha kuifanyia kazi December 2010, sasa amerudi na kupewa mkataba mpya kuifanya show ileile ya JAHAZI kuanzia saa kumi mpaka moja jioni CloudsFM…
BREAKING: Rais Magufuli katengua uteuzi wa mkuu wa mkoa, haujatimia hata mwezi toka ateuliwe
Rais Magufuli katengeua uteuzi wa Anne Kilango Malecela kama mkuu wa mkoa Shinyanga pamoja na kiongozi mwingine mmoja ambapo utenguzi huo umeripotiwa kwamba ni baada ya kusema mkoa huo hauna…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 11 2016 kwenye,Udaku, Hardnews na michezo
April 11 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Video ya magoli ya mechi ya Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10, Full Time 2-1
April 10 2016 ilikuwa zamu ya Azam FC kuiwakilisha Tanzania dhidi ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Mchezo huo ambao ulimalizika kwa Azam FC kuibuka…
Sahau za mwanzo, hizi ni picha nyingine 9 za harusi ya Roma Mkatoliki
Ilikuwa ni April 9 2016 ambapo mkali wa Hip Hop Roma Mkatoliki aliingia kwenye headlines za kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye wana mtoto (Ivan), ndoa hiyo…