PICHA 23: Izzo B na Stamina walivyowarusha watu wao wa Mbeya kwenye usiku wa Pasaka
Usiku wa March 27 Mastaa Izzo B na Stamina waliidondosha burudani kwa watu wao wa Mbeya au Green City kwenye show iliyopewa jina la HOME SWEET HOME iliyofanyika katika ukumbi…
Baada ya timu ya taifa ya Chad kujitoa AFCON 2017, haya ndio maamuzi ya CAF
Jumatatu ya March 28 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa inajiandaa kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa nne wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 dhidi…
Picha 16: Muonekano wa barabara za Jiji la Mbeya leo March 27 2016
Najua kabisa kuna watu wangu wao ni damdam na kujionea picha za miji na majiji mbalimbali, basi jukumu langu kila siku ni kuhakikisha naifanya kazi ya kuzikusanya zote kama hizi…
Fedha za Emmanuel Okwi kutoka Etoile du Sahel bado ni ishu Simba
Baada ya mvutano wa muda mrefu wa Simba kufuatilia fedha zake za usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi kutoka katika klabu ya Etoile du Sahel, kitu ambacho…
Escape One palipendeza !! wasanii kwenye stage na game ya PlayStation
Usiku wa mkesha wa Pasaka D'Wikend Chat Show ya Clouds Tv ilifanya zile fainali za FIFA 16 Playstation Master Tanzania pande za Escape One Mikocheni, watu walijitokeza katika fainali hizo…
Picha 12: Mkesha wa Pasaka wa Hip Hop Dar es Salaam March 26, 2016
Wasanii wanaounda kundi la muziki Tamaduni muziki, usiku wa March 26, 2016 wamefanya show ya nguvu kwenye ukumbi wa Msasani Club sambasamba na kutambulisha kazi zao zinazopatikana katika album zao…
VIDEO: TB Joshua alivyozitembelea nyumba za Dr. Magufuli, Edward Lowassa na Ikulu Tanzania
Timu ya Muhubiri TB Joshua kutoka Nigeria imeionyesha video kwa ufupi ya jinsi Muhubiri huyu alivyokuja Tanzania na kuwatembelea Rais Kikwete aliyekua akimaliza muda wake madarakani, Dr. John Pombe Magufuli…
VIDEO: Basi la abiria lilivyotolewa kwenye eneo la ajali baada ya dereva kudaiwa kusinzia
Ni ajali ya pili kutokea kwa Basi la abiria kupata ajali eneo la Kimara ndani ya mwezi March 2016 ambapo ajali kabla ya hii ilihusisha basi la Leina Tours ambako…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 27 2016 kwenye, hardnews na michezo
March 27 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Jeshi la Polisi limeguswa na mauaji ya watu wawili, saba kujeruhiwa kwa risasi Mwanza, limekuja na hii Mil. moja mezani…(+Audio)
Taarifa kutokea Mwanza 88.1, ni hii ya Majambazi kuvamia maduka eneo la Bugarika kata ya Pamba Nyamagana wakapora pesa na kuuwa watu wawili kwa risasi na wengine saba kujeruhiwa usiku…