TRACE TV wanasema hizi ndio video 10 kali Afrika wiki hii, Afrika mashariki ziko 3
Trace Urban ni moja ya kituo kikubwa cha TV barani Afrika kama wewe ni mpenzi wa burudani lazima utataka kujua ni nani anatamba zaidi kwenye kituo hicho ambacho kimekuwa kikitajwa…
Salum Mwalimu wa Chadema kayasema haya kwa Watanzania kuhusu Katibu Mkuu mpya wa Chadema…(+Audio)
March 24, 2016, amesikia Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salum Mwalimu na akasema kubwa ambalo Watanzania wanatakiwa kulijua ni kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji sio mgeni ndani…
Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania March 24 2016
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 24 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania. Habarikutoka Channel 10...DR. Shein Aapishwa Kwa Muhula…
Jengo la gorofa 16 lililojengwa kimakosa Dar limeshushwa tayari..(+Video)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alitoa siku 18 kwa Uongozi wa manispaa ya Ilala kubomoa Jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gandhi. Kazi…
VIDEO: ( Tamthilia ) Rachel amlazimisha Mwijaku kufanya mapenzi kwenye gari, Mwijaku ashikwa na hasira.
Channel ya YouTUBE ya millardayo itakua ikikuletea Tamthilia fupifupi za Kitanzania hivyo usiache kusubscribe ili kila inayowekwa ikufikie, hiki ni kipande tu cha Tamthilia ya MAHUSIANO ambayo huonyeshwa kupitia CloudsTV kila…
Huyu ndio nyota wa Taifa Stars aliyetoka Uingereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Chad
Good news kwa soka la Tanzania hususani katika kipindi hiki cha kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya taifa ya Chad wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika…
Picha 10 za Joseph Kusaga kakutana na Ma Deejay wa miaka ya 80 na 90 Escape 1
Leo MARCH 24, 2016 Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga aliandaa party iliyopewa jina la Barbecue Party ambayo iliwakutanisha Ma Deejay wakongwe ambao waliwahi kufanya kazi miaka ya 80 na…
Maneno ya Afande Sele kwa Wapinzani wenye mpango wa kushindania Urais na Rais Magufuli mwaka 2020
Tunae Afande Sele, Legend wa bongofleva kwenye hii post... uhodari wake wa kuandika mashairi ulimpa sifa na nafasi ya kusikika pia akichaganua mambo mbalimbali ya maisha kwa mtazamo wake. Swali…
VIDEO: Rais Magufuli kaguswa na hili leo.. hadi kaamua kuzitoa Milioni 9
March 24 2016 Rais John Pombe Magufuli alitoa zawadi ya vyakula na vinywaji vyeye jumla ya Shilingi milioni tisa na laki tatu katika vituo 24 vya malezi kwa Wazee na watoto wanaoishi…
Video: Wabunge watatu wapya wameteuliwa na NEC leo
Baada ya Uchaguzi Mkuu october 2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliteua jumla ya Wabunge wanawake wa viti maalum 110 kati ya 113 ambapo viti vitatu vilibakizwa kusubiri uchaguzi wa…