Video yenye magoli yote ya Simba vs Coastal Union March 19.. Full Time 0-2
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea March 19 2016 kwa Simba kucheza na Coastal Union Mkwakwani Tanga ambapo mpaka Full Time Simba iliondoka na goli zake mbili wakati Coastal walibaki wakavu bila goli...…
Sio kwa kujiamini huku…. huyu Mrembo anacheza na Simba sakafu moja na mpaka anambusu
Tunajua kuna ile list ya Wanyama wakali duniani ambao Binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao.... na ukisikia kuna Simba kaonekana mtaani najua hautotoka nje ila yeye huyu Mrembo kwenye Hifadhi binafsi…
Full Time za game nne kubwa zilizochezwa kwenye ardhi ya Tanzania March 19 2016
Kwenye game ambazo zimechezwa leo kwenye ardhi ya Tanzania Full Time ya Coastal Union vs Simba SC ilikua 0-2 wakati Stand United vs Ndanda ilikua 1-1 na Majimaji FC vs Mbeya City ilikua…
VIDEO: Kutoka kwenye eneo ilipoanguka ndege ya Fly Dubai na kuua wote 62
Taarifa za hii ajali zilianza kutoka March 19 2016 asubuhi ambapo ndege ilikua na abiria 55 pamoja na Wafanyakazi saba ambapo ilianguka uwanja wa ndege wakati ikijaribu kutua huko kusini…
Simba imekuwa klabu ya kwanza kati ya Azam FC na Yanga, kupata ushindi dhidi ya Coastal Tanga (+Pichaz)
Baada ya uwanja wa Mkwakwani kutajwa kuwa mgumu msimu huu kupata matokeo kwa Yanga na Azam FC, March 19 ilikuwa ni zamu ya wekundu wa Msimbazi Simba kupambana na Coastal Union…
Picha 20: Harmonize katika kuadhimisha siku ya kulinda mazingira Dar es Salaam
Leo March 19 msanii kutoka label ya wasafi (WCB), Harmonize aliungana na WWF kuadhimisha siku ya kulinda mazingira katika kijiji cha Buyuni wilaya ya Temeke Dar es Salaam. Msanii huyo…
Baada ya kujitoa kwa mgombea ubunge wa CUF Jimbo la Kijitoupele Zanzibar, NEC wameyazungumza haya
Uchaguzi Mkuu wa october 2015 ulikuwa ni uchaguzi uliovuta hisia za wengi na idadi kubwa ya watu walihamasika kushiriki uchaguzi huo. Licha ya Uchaguzi kufanyika kwa mafanikio makubwa katika maeneo…
List ya wachezaji watano wa Afrika wanaoongoza rekodi ya ufungaji kwa muda wote EPL
Mchezaji kutoka Afrika ili aweze kucheza Ligi Kuu Uingereza moja kwa moja mara nyingi hadi taifa lake liwe katika viwango vya juu vya FIFA, vinginevyo lazima apite Ligi nyingine barani Ulaya…
Uteuzi mwingine aliofanya Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anazidi kuendelea kuisuka Serikali yake ili iwe yenye ufanisi zaidi. Leo March 19 amefanya uteuzi ambao umeziba baadhi ya…
Yaliyonifikia hii leo kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Ni takribani masaa kadhaa yamebaki ili wananchi wa Zanzibar wafanye maamuzi ya kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani. Leo March 19 2016 Tume ya Uchaguzi…