Umoja wa vyama visivyo na ushiriki bungeni vimeyaamua haya kuhusu marudio ya uchaguzi Zanzibar
Ikiwa ni siku kadhaa tangu headline za Umoja wa vyama vya katiba nchini (UKAWA) kutangaza kuwa havitashiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar unaotarajiwa kufanyika March 20 2016, Leo March 17 2016…
Rais Magufuli kapiga simu kwenye kipindi cha TV ya Tanzania kwa mara ya kwanza tangu awe Rais (+audio)
Kwenye zile kubwa ambazo zimenifikia leo March 17 ni pamoja na hii ya Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kuvutiwa na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv mpaka akaamua kuwapigia…
Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz..(+Video)
Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya kuchana yaani (FreeStyle) mkoani Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar kwenye fainali za mashindano hayo akaibuka…
Ilivyotokea mpaka Diamond Platnumz akakutana na Kanye West Los Angeles Marekani
Ni Story iliyochukua headlines hasa kwenye vyombo vya habari na mitandao hivi karibuni baada ya Diamond Platnumz kukutana na rapper wa marekani Kanye West Los Angeles Marekani. Sasa basi ninajua…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 17 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Agizo la kwanza alilolitoa Paul Makonda kama mkuu wa mkoa Dar (+Video)
Jana March 15 2015 Rais John Pombe Magufuli aliwaapisha wakuu wapya wa mikoa 26 ya Tanzania bara na kuwaagiza kutekeleza wajibu wao bila kuwa na hofu yoyote kutoka kwa watu…
PART 1: Mfungwa mtanzania aongea kwa simu kutoka gerezani China
March 16 Apmlifaya ya Clouds FM ilipata nafasi ya kuzungumza kwa simu na mfungwa mtanzania aliyefungwa gereza moja na Jack Cliff, jamaa jina lake halijawekwa wazi ila amefungwa gerezani hapo…
Mwigizaji Nisha yuko China kwa mara yake ya 7.. watu wanamuhisi vingine ila kaongea yafuatayo
Mwigizaji wa bongomovie Salma Jabu 'Nisha' amekwenda tena China ikiwa ni mara yake ya saba toka aanze kwenda China ambapo wengi wa mashabiki zake wamekua wakihisi anafanya biashara haramu ya…
Mrema hajakata tamaa bado yupo mahakamani
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia chama cha kisiasa cha TLP Augustino Mrema, bado hajakata tamaa kuendelea na kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Vunjo…
Marudio ya uchaguzi mkuu Zanzibar ni keshokutwa tu, Jaji mkuu wa Zanzibar kaongea haya
Ikiwa siku bado zinahesabika kuelekea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar, March 16 jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othman amefunguka na kueleza mambo kadhaa kuelekea uchaguzi huo ambao unategemewa kufanyika…