Makosa ya Mochwari Tanga yaifikia #Hekaheka (+Audio)
March 14 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Tanga hii ni baada ya ndugu kuchanganya Maiti katika Hospitali ya Bombo, Tanga, wakwanza kuchukua mwili wa…
Picha 13 za Mahakamani kwenye Kesi ya Wenje na Mabula, kupinga matokeo ya Ubunge Nyamagana Mwanza…
Ripoti kutokea 88.1 Mwanza muda huu ni hii ya Mbunge wa zamani Ezekia Wenje jimbo la Nyamagana na Mbunge wa sasa Stanslaus Mabula kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi…
VideoMPYA: ‘My Life’ ya Dogo Janja imeachiwa tayari, itazame hapa
Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka Tip Top Connection 2016 aliachia hit single yake ya 'My Life', ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika…
Ukweli kuhusu ajali ya gari iliyoua Watu 2 na kujeruhi 16 Dar, usiku wa jana…
Moja ya stori zilizochukua headline usiku wa March 13 2016 ni pamoja na hii ya ajali ya basi la Leina Tours lililoanguka maeneo ya Kimara Bucha, Dar es salaam na taarifa…
Mengine yaliyofanywa na Malkia wa Nguvu Doris Mollel kwenye sekta ya Afya….
March 12 ilikua ni kelele cha Kampeni ya Malkia wa nguvu,Kampeni ambayo ilikua ikiendeshwa na Clouds Media Group kilele cha kampeni hii kiliambatana pia na utolewaji wa Tuzo kwa wale…
Top 10 ya Tweets zilizopewa uzito kwenye Magazeti ya leo March 14 2016 unazisoma pamoja hapa!!
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini https://twitter.com/millardayo/status/709238070026047488 https://twitter.com/millardayo/status/709241593165975552 https://twitter.com/millardayo/status/709242997410430976 https://twitter.com/millardayo/status/709248909860855808…
Pichaz 16: kutoka kwenye ‘Siwezi, Naogopa Tour’ ya Baraka da Prince na Mirror..
Mirrror na Baraka da Prince wamekamilisha Headlines za March 14 2016 baada ya kufanya bonge la show Club Maisha Basement, Dar es salaam ikiwa ni Tour yao yapamoja waliipatia jina…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 14 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
March 14 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari…
Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1
March 13 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 14 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…