Pichaz 6 za Richie Richie alivyokutana na waziri Nape leo na tuzo ya Africa Magic Viewer’s Choice 2016
Usiku wa March 6 Single Mtambalike maarufu kama Richie Richie, aliwasili na tuzo yake ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, na leo March 7 ilikuwa ni wakati wa kuipeleka tuzo…
Picha 3: Diamond Platnumz Marekani akiwa na Ne-yo na mwigizaji wa series ya EMPIRE
Kwenye OnAIR with Millard Ayo Diamond Platnumz alisema March 2016 anakwenda Marekani na kwamba atafanya kazi kubwa na nyingi ikiwemo video ya kolabo yake na staa wa muziki duniani Ne-yo ambaye…
Kama ulifikiwa na Taarifa za Uhaba wa Sukari chukua hii..
Issue ya uhaba wa sukari ilichukua headline baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania John Pombe Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka mataifa ya kigeni ili kuvilinda viwanda…
Picha 5: katibu mkuu mpya kiongozi alivyoapishwa leo Ikulu, waliokuwepo ni pamoja na aliyekua Katibu mkuu Ombeni Sefue
ULIKOSA RAIS MAGUFULI AKIMTANGAZA KATIBU MKUU MPYA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI https://www.youtube.com/watch?v=8S2PN82xeaY Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika…
Maneno ya Witness kuhusiana na Hiphop….?Walichokiongea Richie na Lulu Baada ya kushinda tuzo Nigeria..(255 +Audio)
Kupitia 255 ya Clouds FM March 7 millardayo.com inakupatia fursa ya kuzisikiliza stori zote ambazo zimepata airtime kupitia 255. 'Mitazamo ya baadhi ya wasanii ni kuwa muziki wa Hiphop…
Mama aliyewatelekeza watoto wake 2 Mwananyamala Dar kapatikana… #Hekaheka..(+Audio)
Watoto walliotelekezwa na mama yao Mwananyamala Dar es salaam, Mama na Baba yao wamepatikana kupitia Hekaheka ya Clouds FM March 7 Geah Habib amefanya interview na mama aliyekuwa anaishi nao…
Lulu hakurudi Tanzania jana… ninacho alichoandika leo kuhusu kurudi kwake nyumbani na Tuzo
Tunajua ni Watanzania wawili walishinda tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Africa Magic Viewer's Choice Awards, wa kwanza ni Single Mtambalike 'Richie' na Elizabeth Michael 'Lulu' ambapo Richie tayari alisharudi…
New video: Mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba katuletea Video Mpya…
Baada ya kushinda Bongo Star Search Kayumba Juma katuletea Video yake ya Kwanza inayoitwa 'Katoto' iliyofanyika Afrika Kusini chini ya Director Justin Compas. Unaweza ukaitazama hapa..... https://www.youtube.com/watch?v=A8bzCAhnTrc Unataka kutumiwa MSG…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 7 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
March 7 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kumba leo ni pamoja na hizi..Rais Magufuli amaliza kivuli cha Jk Ikulu,…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 7 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo
March 5 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…