‘Kuna watu wanatuchora kama makatuni watumwa, sisi hatupo hivyo’;- Madereva daladala (+Video)
March 6, 2016 Chama cha madereva na makondakta wa daladala Dar es salaam, kimetangaza rasmi kuafikiana na yale makubaliano kati ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na wamiliki wa magari…
Mambo matano Nay wa Mitego hatosahau toka aachie ‘shika adabu yako’
Msanii wa bongofleva Nay wa Mitego amekaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuzungumzia experience ya single yake ya 'shika adabu yako' ambayo ndani yake amewachana baadhi ya mastaa wa…
Hii ndio historia mpya iliyowekwa na Simba dhidi ya Mbeya City leo
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo kwa klabu ya Simba kushuka uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kuikabili Mbeya City katika mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi…
VIDEO: Mtazame Rais Magufuli akimtangaza katibu mkuu kiongozi mpya
March 6 2016 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemtangaza katibu mkuu kiongozi mpya kwenye serikali yake ambaye anachukua nafasi hiyo iliyokua kwa Ombeni Sefue, katibu mkuu…
BREAKING: Rais Magufuli ameteua katibu mkuu mpya kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue
Kutoka Ikulu Dar es salaam leo March 6 2016, ni uteuzi mpya uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu kiongozi ambapo kabla…
Ikiwa imebaki siku moja ‘Daladala bure kwa Walimu’ Chama cha Madereva kimefunguka na haya mengine…
Leo March 6, 2016 Chama cha madereva na makondakta wa daladala Dar es salaam, kimetangaza rasmi kuafikiana na yale makubaliano kati ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na wamiliki wa…
Midundo 20 iliyong’aa kwenye CloudsFM Top 20 weekend ya March 6 2016
Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila Jumapili CloudsFM kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa 7 ikiwa na mkusanyiko wa midundo 20 mikubwa ya wiki. #CloudsFMTop20 #March62016 #20 #Godzilla…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 6 2016 kwenye , hardnews na michezo
March 5 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
VIDEO: Watanzania walivyochukua tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, Lagos Nigeria usiku wa March 5
Usiku wa March 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael 'Lulu' na Single Mtambalike kushinda tuzo mbili, kila mmoja akishinda tuzo moya kutoka Africa…
Siku moja kabla ya Walimu kuanza kusafiri bure, Dc Makonda kachukizwa na haya maneno..(+Video)
March 5 2016 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda alitembelea katika shule ya sekondari Turiani, Dar es salaam kwa lengo la kuzindua vitambulisho vitakavyotumika na Walimu wa Dar kwaajili…