FIFA wametangaza viwango vya soka mwezi huu, Tanzania ilikua namba 126 miezi iliyopita, ya mwezi huu je?
Hii ni kwa kila binadamu ambaye damu yake ina chembechembe za mapenzi ya soka la wanaume duniani, list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa March 3 2016, FIFA imetangaza viwango…
Vichwa 12 vya Habari kwenye TV za Tanzania March 3 2016
Vichwa vya Habari kutoka Clouds TV Wagonjwa Kutotibiwa Nje Vichwa vya Habari kutoka Clouds TV Majipu Yatumbuliwa Nyamagana Vichwa vya Habari kutoka Channel 10 Uboreshaji Huduma za Jamii (W) Kinondoni Vichwa…
Isikupite hii Video ya Weusi na Jux walivyoiachia burudani kwa watu wao wa Mtwara
February 27 2016 kundi la Weusi pamoja na staa wa bongo fleva Jux, waliidondosha burudani kwa watu wao wa Mtwara, show hiyo iliyopewa jina la 'Usiku wa Weusi na Jux'…
Ni kweli Roman Abramovich amewatajia staff wa Chelsea kocha mpya? dello Sport wameandika hivi …
Bado klabu ya Chelsea ya Uingereza inaongozwa na kocha wake wa muda Guus Hiddink ambaye ataiongoza klabu hiyo hadi mwisho wa msimu, Hiddink alijiunga na Chelsea kuchukua nafasi ya Jose Mourinho ambaye alifukuzwa na…
Usi-imagine Stan Bakora kafanya nini kwenye video mpya ya Mrisho Mpoto ‘Sizonje’ ! ninayo hapa
Stan Bakora ni mchekeshaji wa Tanzania tumezoea kumpata kwenye movie pia na akiigiza sauti ya Nay wa Mitego, sasa video ya wimbo mpya wa Mrisho Mpoto 'Sizonje' Stan Bakora kaonekana...…
‘Tutawakamata na kuwarudisha Nchini’ – Polisi
Jeshi la Polisi Tanzania limechukua headlines kwa siku za hivi karibuni kwa kudhibiti uhalifu katika sehemu mbalimbali za nchi. Leo March 3 2016 Kamishina wa Polisi wa Oparesheni na Mafunzo,…
Taarifa za Petitman Wakuache kupata mtoto wa pili kutoka kwa mwanamke wa Kalala Junior..(U Heard +Audio)
U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 3 inamhusu Petitman kutarajia mtoto wa pili kutoka kwa mwanamke wa msanii kutoka Bendi ya Twanga Pepeta Kalala Junior.…
Mtoto anayeuza mboga za majani Dar apata msaada wa kurudi kwao..#Hekaheka(+Audio)
March 3 2016 Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM leo ametuletea Hekaheka inayomhusu mtoto aliyetolewa kijijini kwa ajili ya kuja kusomeshwa Dar. Tatizo ni pale alipofika Dar na kupewa kazi…
Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…!
Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>> Lakini…
Niliyokurekodia kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za magazeti leo March 3 2016… #PowerBreakfast (+Audio)
Katika Uchambuzi wa magazeti March 3 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari zilizopata nafasi ni pamoja na Askari wanne wa JWTZA mkioani Mbeya wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa…