Exclusive: Mrisho Mpoto asimulia jinsi Rais JK alivyohisi wimbo wa ‘Mjomba’ unamsema yeye
Mrisho Mpoto alipata nafasi ya kukaa kwenye Interview na Mtangazaji wa Radio na blogger Millard Ayo na kueleza mambo mengi ikiwemo maisha na historia yake ila kwa leo utafahamu jinsi…
Video ya Rais wa TFF Jamal Malinzi akieleza kuhusu tuhuma za upangaji wa matokeo
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi February 23 wakati wa kusaini mkataba wa kusaidia maendeleo ya soka la wanawake Tanzania na taasisi ya Karibu Tanzania, amezungumzia kuhusu…
Hii huenda ikawa dalili nyinigine ya Mourinho kujiunga na Man United, kafanya maandlizi haya
Headlines za kocha wa zamani wa vilabu vya Real Madrid na Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho February 23 ameingia kwenye headlines baada ya kuonesha viashiria vingine vya kuwa anakaribia kuhamia…
Kuelekea mechi ya Arsenal Vs FC Barcelona, Luis Suarez kasahau passport
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay ambae amewahi kuichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza na baadae kujiunga na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Suarez amewashangaza wengi baada ya kuingia…
Harmonize na Huddah, Roma Mkatoliki kuhusu kushoot video nje? Waziri Nape kuwa Rubani wa ndege?..(255+AUDIO)
Kwenye 255 XXL Clouds fm leo, stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Harmonize kueleza mahusianao yake na Huddah. 'hapana bana mimi sitoki na Huddah , ni rafiki yangu…
Madereva kuchomokeana au kutukanwa barabarani inakera ila hasira zako zisifikie za hawa
Kila siku Madereva huwa wanakutana na visa vya kukasirisha barabarani ila hii video hapa chini inatuambia, Dereva yeyote mtu akikuchomekea au kukuzingua barabarani inabidi uachane nae na uendelee na safari…
Maamuzi mapya ya Mahakama kwa Mo Music kwenye kesi ya mpenzi wa zamani na milioni za watu
Kuanzia mwishoni mwa mwaka 2015 msanii wa bongofleva Mo Music mmiliki wa single ya 'skendo' hakuwa na furaha kwa sababu alipata taarifa za kushtukiza kutoka Mahakamani Dodoma kwamba anashtakiwa kwa…
Maamuzi ya mke baada ya kumfumania mume wake na mama mkwe wakishare kitanda kimoja…(Hekaheka +AUDIO)
Kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo feb 23 2016 ni muendelezo wa hekaheka ya feb 22 stori inatokea Tabata Dar, Mume kakutwa na Mama yake Mzazi kitandani wakiwa na nusu uchi.…
Kama ulikuwa unajua soka la wanawake limetupwa, TFF wamefikia hapa Feb 23 2016
Shirikisho la soka Tanzania TFF February 23 limefanya mkutano na waandishi wa habari na kutangaza kuingia mkataba na Karibu Tanzania Association kwa ajili ya maendeleo ya soka la wanawake ambalo…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 23 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo
February 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…