Dogo Janja ana ‘Bifu’ tena na Tip Top Connection?Sikiliza hii audio…
Ikiwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tusikie Dogo Janja kurudi Tip Top Connection bado tunasubiri ujio wake mpya akiwa na kundi lake hilo la zamani,Nimefanikiwa kupata sauti anayozungumza Dogo Janja…
Upotevu wa Bil 1.5, Waziri wa Rais Magufuli kawasimamisha kazi watumishi wanne leo feb 15..(+Audio)
Leo Feb 15 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD) kufuatia…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 15 2016 kwenye Hardnews na michezo
February 15 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Hii ndio dozi aliyokutana nayo Celta Vigo kutoka kwa FC Barcelona, magoli yote yapo hapa
Harakati za klabu ya FC Barcelona kukusanya point tatu za kila mchezo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuwania taji la Ligi Kuu Hispania ziliendelea usiku wa February 14, FC…
Usisahu kuwa Man City wamecheza na Tottenham na kupokea kichapo, video za magoli 12 yaliofungwa EPL Feb 14
Weekend ya burudani ya soka kwa Ligi Kuu Uingereza ilimalizika usiku wa February 14, kwa jumla ya michezo mitatu kuchezwa kwa siku hiyo, klabu ya Manchester City na Tottenham Hotspurs…
Vyama nane vyajitoa katika Uchaguzi wa marudio Zanzibar…(+Video)
Feb 14 2016 Vyama nane vya Siasa nchini viliungana kwa pamoja na kutoa tamko la msimamo wao wa kupinga kushiriki marudio ya Uchaguzi wa Zanzibar uliopangwa kufanyika Machi 20 2016, …
Mwadui FC washindwa kutamba katika uwanja wao wa Mwadui Complex dhidi ya Prisons
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo February 14 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Mkwakwani Tanga na uwanja wa Mwadui Complex, klabu ya Azam FC ilikuwa Tanga kumenyana…
VIDEO: Waliohusika kutorosha Makontena Bandarini, hizi ndio hatua zitakazochukuliwa kwao…
Utoroshwaji wa Makontena uliofanyika katika Bandari Kavu kisha kugunduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara ya kwanza alipotembelea Bandarini na baadae Rais Magufuli Kuwataka walewote waliotorosha Makontena hayo walipe kodi…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 14 2016 kwenye Hardnews na michezo
February 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Picha 18 kilivyo happen usiku wa Muzika Festival Mwanza….
Kwenye usiku wa Valentine Day Mwanza nao walikuwa na burudani ya nguvu kutoka kwa mastar wa Nigeria na hapa Tanzania, Nigeria Tekno na Seyi Shay wametoa burudani kwa mara ya…