VIDEO: Ahadi ya mabilioni ya Rais Magufuli kwa Mahakama Tanzania imetekelezwa tayari
Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango ilitoa Bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za Mahakama ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais Magufuli siku ya kilele cha maadhimisho ya…
Watu wangu wa Mwanza mtazipata raha za Cinema Rock city Shopping mall very soon.
Mara zote huwa nasema Mwanza ni moja kati ya miji ya Tanzania ninayoizimia, kuanzia hali ya hewa na kwa kila kitu, sasa kama mapenzi yako ni kutazama movies kwa kwenda Cinema,…
Licha ya kusajiliwa kwa dau kubwa, Louis van Gaal kaamua kumshusha U-21 Memphis Depay, kisa ….
Kocha wa Man United Louis van Gaal bado anahangaika kutetea kibarua chake kwa kuhakikisha kuwa timu ya Man United inafanya vizuri, Louis van Gaal anatajwa kuwa katika mikakati ya kuhakikisha…
Pichaz za sehemu 10 nzuri na kuvutia kwa kufanya utalii duniani, Afrika zipo Zambia na Zimbabwe
Mtu wangu wa nguvu leo February 8 kama wewe ni mpenzi wa kutalii sehemu mbalimbali millardayo.com inakupa fursa ya kuzitazama sehemu 10 ambazo kama unapata time sio vibaya kuzitembelea ni nzuri na…
Picha 18 za mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona tayari kuanza kufanya usafi Hospitalini.
Mawaziri wa zamani katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka miwili jela na baadae Mahakama ya Kisutu kuamuru wawili hawa kutumikia adhabu ya…
Picha 16: Kilivyohappen kwenye ‘Figisufigisu za Nuh Mziwanda’ Club Billcanas, Dar
Weekend ya Feb 7 2016 staa wa bongo fleva Nuh Mziwanda aliungana na mastaa wengine kama Barakah da Prince, Bill Nas, Country boy na wengine kibao na kuidondosha show ya 'Figisu…
Roma Mkatoliki anaoa… nimezinasa picha 6 kutoka kwenye send-off !
Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe…
Chui kanaswa kwenye hii video, katoka msituni mpaka kwenye Shule na kuanza kushambulia watu
Watu watatu wamejeruhiwa baada ya Chui kuingia kwenye shule moja huko Bangalore India na kufanya Askari watumie takribani saa 14 kumtafuta Chui huyo aliyekuwa na umri wa miaka sita akitokea kwenye…
VideoMPYA: kama uliisubiria ya Feza Kessy ft. Chege ‘Sanuka’ ndio hii imetoka
Ujazo wa jina lake uliongezeka Tanzania na Afrika baada ya kutokea kwenye shindano la Big Brother Africa, baada ya hapo akarudi shule Afrika Kusini na sasa amerudi nyumbani Tanzania, kazi…
Director Adam Juma ameyaandika haya baada ya kuitazama video mpya ya Alikiba ‘Lupela’
Siku moja baada ya staa wa bongofleva Alikiba kuiachia video ya ngoma yake 'Lupela', leo Director wa long time Tanzania Adam Juma ameyatoa yake ya moyoni kupitia account yake ya instagram…