Unachotakiwa kufahamu leo Feb 5 kuhusu Mwanafunzi Mtanzania aliyefariki India na aliyetembezwa bila nguo
Stori ya Wanafunzi wa Tanzania kuvamiwa na kupigwa huku mmoja wa wasichana akivuliwa nguo na kutembezwa barabarani imechukua headline nyingi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari haswa…
Wanasema hizi ni barabara nyingine kumi za hatari duniani… Dereva asifumbe macho hata sekunde
Wanasema hizi ni miongoni mwa barabara nyingine hatari zaidi duniani.... usipokua muangalifu kufata masharti uwezekano wa kupoteza maisha ni mkubwa, tazama kwenye hii video hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=ym4uVS-5tSA Unaijua barabara yoyote…
Habari mbaya Ommy Dimpoz hatoweza kuja kuisahau kwenye maisha yake
Kila binadamu anaweza kuwa na vitu flani hawezi kuvisahau kwenye maisha yake.... leo tunae Ommy Dimpoz ambaye ni mwimbaji wa bongofleva na anatuhadithia kitu kilichowahi kumkuta na hatoweza kukisahau hivihivi…
Zisome pamoja #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania Feb 5, 2016
Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti ambazo huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/695466419916554240 https://twitter.com/millardayo/status/695467615670706176 https://twitter.com/millardayo/status/695494439595307008 https://twitter.com/millardayo/status/695478338593419264 https://twitter.com/millardayo/status/695473344561487872 https://twitter.com/millardayo/status/695484064858574848 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Uchambuzi stori kubwa Magazetini Feb 5 2016 >>Bungeni? ukatili kwa Watanzania? .. (+Audio)
Tayari nimekurekodia stori za uchambuzi wa magazeti kupitia show ya Power Breakfast ya Clouds FM leo Feb 05 2016, baadhi ya stori kubwa ni pamoja na Unyanyasaji kwa Watanzania nchini…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 5 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 5 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Rais Magufuli ‘mimi sio Dikteta, mimi ni mpole lakini…’
Feb 4 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya uzinduzi wa mwaka mpya wa Mahakama katika siku ya sheria Duniani, tukio lilifanyika Dar es salaam. Hapa nakusogezea yote makubwa aliyosikika katika uzinduzi huo…
Yaliyomkuta Mbunge aliyesema Dk. Mwakyembe ni ‘Jipu’…(+Audio)
Feb 4 2016 Mbunge wa viti maalum CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi Jesca Kishoa ameingia kwenye headline baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo salia baada ya kukataa kufuta kauli yake…
Mesut Ozil sio tena mfalme wa assist, huyu ndio jamaa aliyechukua nafasi yake …
Wiki kadhaa nyuma kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Mesut Ozil alikuwa anatajwa kama assist King, ikiwa na maanakuwa yeye ndio mtaalam wa assist au…
Full stori Watanzania wanavyofanyiwa vitendo vya kikatili India….(+Audio)
Stori za Waafrika kufanyiwa vitendo vya kikatili katika nchi mbalimbali duniani zimezidi kukamata headline, hii ya sasa iliyonifikia ni kutokea India ambapo kuna Mtanzania alivamiwa na kufanyiwa vitendo visivyofaa. Ishu imekuwa…