Habari njema kwa wana Dar, huduma ya bure kwa vipimo vyote vya mwili kuanza kutolewa..(+Video)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa kushirikiana na Hospitali za Dar wameamua kutoa huduma ya vipimo vya afya bure mara tatu kwa kila mwaka, hapa nakusogezea hii video…
Rais Mugabe bila woga kaeleza yote aliyoambiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete juzi.
Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya…
Uchambuzi wa stori kubwa Magazetini February 2 2016 >> ya Bungeni? uokoaji kivuko? aliyejinyonga? .. (+Audio)
Polisi Mkoa wa Simiyu inawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya rubani wa helikopta, Mbunge Saed Kubenea amesema kauli yake Bungeni kuhusu wanawake hakuwadhalilisha, Mbunge Joseph Mbilinyi…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 2 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Maneno 11 ya Juma Kaseja kwa watu wa Simba, wamkumbuke lakini….
Golikipa mahiri wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, bado ana historia nzuri na kubwa ndani ya klabu…
Exclusive Interview na Ay… anamzungumzia Diamond, Zigo remix na mengine
Ay ni legend kwenye muziki wa bongofleva ambaye kwa sasa jina lake linatajwa sana kwenye Radio baada ya kuiachia single ya 'zigo' remix Ft. Diamond Platnumz, Interview yake kuhusu Diamond…
Top5 stories za wiki iliyopita…. Idris na Wema, Linah na Wizkid, Kitale na Sharo Milionea na wengine
Karibu kwenye Top5 ya stori kubwa za burudani zilizochukua headlines kutoka kwenye countdown ya Millard Ayo ambaye amefanya Interview moja kwa moja kwa simu na wahusika, tazama hii video hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=9_cXZvPCA7s…
Tunatakiwa kufahamu kwamba John Terry amethibitisha kuondoka Chelsea ! majibu ya maswali yako ninayo hapa
Beki wa kati na nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry amethibitisha kuwa hatoendelea kuitumikia Chelsea na mwisho wa msimu huu ndio mwisho wake Chelsea na sasa hataki kuichezea club yoyote…
Ajali na vifo kutokana na ‘selfie’ hazijasahaulika, hii ni ya mtu mbele ya treni India..
Kutokana na kitu 'selfie' kuonekana kupata nguvu kubwa sana na kupendwa na watu wengi, yako matatizo pia ambayo yanasababishwa na selfie hizohizo, ishu ya ajali na vifo nayo inatajwa. Wiki…
Ray C kayaandika haya baada ya kuhusishwa tena na matumizi ya ‘Unga’
Msanii wa Bongo fleva Ray C leo ameonyeshwa kukwazwa na moja ya habari zilizoandikwa kenye moja ya kurasa za magazeti Bongo, na hiki ndicho alichokiandika. "Seriously kwa kweli huwa naumia sana…