Man City nusura ichezee kichapo kwa West Ham United (+Pichaz&Video)
Baada ya wapinzani wao Man United kukubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Southampton katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford, Man City walisafiri kutoka jiji la Manchester hadi…
Hii ndio sababu kuu iliyomfanya Dk Tiboroha ajiuzulu nafasi ya ukatibu Yanga …
Habari kubwa kwa sasa katika soka la bongo ni kuhusu aliyekuwa katibu mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha kutangaza kujiuzulu nafasi yake, wengi walikuwa wanaripoti kuwa katibu mkuu huyo katangaza kujiuzulu…
Hiki ni kipigo cha 6 cha Man United msimu huu, safari hii dhidi ya Southampton (+Pichaz&Video)
Michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea Jumamosi ya January 23 kwa michezo kadhaa kupigwa, mchezo wa kwanza uliyochezwa wa Ligi Kuu Uingereza ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Norwich…
Shilole katuonjesha ile Nyang’anyang’a kwenye sekunde 30 za video..
Shilole kwenye ubora wake, kama ukiangalia kwenye kipande cha hii video utaona mabadiliko mengine ambayo Shishi Baby kaamua kuja nayo. Ni vipande viwili vya video vyenye sekunde kama hivi jumla,…
Taarifa kuhusu ajali ya basi la abiria katikati ya safari Dar-Moro… RIP
Picha zimeenea kwa muda sasahivi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha ajali ya basi huku kukiwa na taarifa tofauti kuhusu vifo na majeruhi kwenye ajali hiyo. Blog ya mwanahabari Issa Michuzi…
Tatizo la ugonjwa wa moyo lilivyopatiwa ufumbuzi Dar…(+PICHAZ)
Leo Jan 23 2016 Hospitali ya taifa Muhimbili kupitia taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wanaendesha shughuli ya upimaji wa ugonjwa…
Baada ya katibu wa Yanga kudaiwa kujiuzulu kwa shinikizo, Klabu ya Yanga hali iko hivi (+Pichaz)
Baada ya uvumi kuenea kwa zaidi ya siku mbili sasa juu ya hatma ya katibu mkuu wa klabu ya Dar Es Salaam Young Africans Dk Jonas Benedict Tiboroha kuwa kajiondoa…
‘Hello’ ya Adele ilivyogonga headlines na kuvunja rekodi ya 17 kali zaidi Youtube..
Wimbo wa Adele umekuwa wimbo mkubwa sana, wimbo ambao huenda ukawa mmoja kati ya ngoma ambazo zimerudiwa kwa kuimbwa cover yake na watu wengi zaidi duniani... lakini unajua kwamba rekodi…
Top 10 news kutoka kwenye kurasa za Magazeti >> JPM kijeshi Arusha, ya Z’bar? Miss TZ na mengine..
Ni Jumamosi January 23 2016, kila siku kuanzia saa 12 asubuhi nakusogezea tweets za stori kubwa kwenye magazeti ya Tanzania, hapa ninazo 10 zenye nukuu za uzito zaidi kutoka kwenye kurasa…
Chidinma amefichua alivyogombana na Pastor kisa Mr Flavour
Wakati watu wanajadili mahusiano au ukaribu wa Mr Flavour na mrembo kutoka kiwanda cha muziki Nigeria Chidinma, mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusiana na ukaribu wa wawili hao, stori zilianza kuvuma baada…