Kilichoandikwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 17 2016 kwenye magazeti ya Dini, Hardnews na michezo
Ni Jumapili January 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Video ya goli na sehemu ya mchezo wa Simba Vs Mtibwa Sugar, Full Time 1-0 Jan 16
Ligi Kuu soka Tanzania Bara iliendelea Jumamosi ya January 16, hii ni baada ya kusimama kwa takribani siku 10 kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016. Miongoni mwa…
Barakah Da Prince katusogezea video mpya “Siwezi”
Leo Jan 16 2016 mkali wa Bongo fleva Barakah Da Prince ametuletea hii ngoma mpya aliyoipa jina la "Siwezi". Karibu kuitazama. https://www.youtube.com/watch?v=seXwsIlwdEY&feature=youtu.be&hd=1 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka…
Hawa hapa wanawake wawili wenye PhD kutoka SAUT Mwanza, kwa mara ya kwanza…(+Pichaz)
Congratulation kwa kila mtu wangu ambae yeye na elimu ni damu damu, ninayo ripoti kutokea chuo kikuu cha SAUT Mwanza 88.1, leo kwa mara ya kwanza wameiandika historia ya kutunuku…
Baada ya kutolewa Mapinduzi Cup, Simba yafanikiwa kulipiza kisasi kwa Mtibwa Sugar …(+Pichaz)
Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kutolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro. January 16 katika mchezo wa Ligi…
Unaweza kuyatazama matokeo yote ya kidato cha pili 2015/16
Tayari Serikali kupitia Baraza la mitiani NECTA imetangaza Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu kwa…
Kwenye Top 30 ya Trace Tv hizi ndio 15 kali za juu leo Jan 16 2016
Leo Jan 16 2016 kituo cha kimataifa nchini Ufaransa Trace Tv kimezihesabu ngoma kali kwenye chart ya Top 30 ambapo hapa unaweza kuzitazama 15 kubwa za juu. 15.Olamide - Eyan Mayweather…
Majibu yamenifikia kutoka ndani ya kikao cha Uchaguzi wa Meya wa Kinondoni Dar..
Vichwa vya habari mfululizo vilisukuma habari Magazetini kuhusu ishu ya kukwama kwa uchaguzi wa Mameya wa Manispaa ya Ilala na Kinondoni Dar es Salaam... uchaguzi huo kwa mara ya kwanza…
Unakumbuka ile mishemishe mapokezi ya Mbwana Samatta baada ya ushindi wa Afrika? (+Video)
Staa wa soka kutoka Mbagala Dar es Salaam, Mbwana Samatta ameteka vichwa vya habari kila kona Tanzania na nje ya mipaka baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa soka Afrika…
Kama ulishangaa mastaa wa bongo kufanya siasa, kuna Rais ni comedian na kaapishwa Guatemala.. (+Video)
Wako mastaa waliojaribu maisha kwenye upande mwingine Tanzania, wako waliotoka kwenye game ya muziki na wengine walitoka kwenye movie... kwa maamuzi ya dhati kabisa wakajitangaza kwamba wanaitaka siasa !! Wapo…