Yalichoandika Magazeti 22 ya Tanzania leo January 14 2016, Udaku, Hardnews na michezo
January 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 22 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Video yenye magoli yote ya fainali ya Mapinduzi Cup URA vs Mtibwa FullTime 3-1
Usiku wa January 13 Zanzibar ilipigwa fainali ya 10 ya Kombe la Mapinduzi kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda vs Mtibwa Sugar ya Tanzania, Mtibwa Sugar wakapigwa 3-1 na kwenye hii video hapa chini utajionea magoli yote..…
Joe Allen amefanya Arsenal washindwe kuondoka na point tatu Anfield, cheki ilivyokuwa (+Pichaz&Video)
Mechi za Ligi Kuu Uingereza zimeendelea kama kawaida kwa kupigwa michezo saba usiku wa January 13, miongoni mwa michezo iliyochezwa usiku wa January 13 ni mchezo kati ya Liverpool ambao…
Mbunge Joshua Nassari kaamua kuufata mzigo yeye mwenye China…(+Audio)
Kwenye hii kasi ya Rais Magufuli speed haiko kwa Mawaziri tu hapana, speed ipo mpaka kwa Wabunge ...acha ni kusogezee hii ya Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari…
VIDEO: Mkuu mpya wa Polisi Dar kaja na haya…
Nakukutanisha na Mkuu mpya wa Polisi Dar Simon Sirro alivyoianza kazi yake na kusema wenye pikipiki watamtambua, anabana kila kona na wale wanaozitumia kuibia hawana nafasi tena. Bonyeza Play hapa…
VIDEO: Majibu yametoka kwa walioulizia ile Range Rover ya Wema Sepetu na kwamba imechukuliwa na mwenyewe
Kwenye stori za mastaa wa Tanzania zilizozungumzwa sana ndani ya wiki tatu zilizopita ni pamoja na hii, ishu kubwa ni kuhusu umiliki wa ile Range Rover ya mwigizaji Wema Sepetu…
URA yafanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi, kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa goli hizi (+Pichaz)
Fainali ya 10 ya michuano ya Kombe la Mapinduzi imemalizika visiwani Zanzibar, kwa kuzikutanisha timu za Mtibwa Sugar ya Tanzania dhidi ya klabu ya URA ya Uganda. Mchezo huo uliopigwa…
Huu ni upendo mwingine wa Zanzibar huenda usiukute popote Tanzania (+Pichaz)
Zanzibar ni moja kati ya sehemu za Tanzania zinazovutia kwa utalii duniani, kuna mengi ya kujifunza kutoka Zanzibar, ukarimu, upendo wa watu na mapenzi ya kufanya ibada kwa kiasi kikubwa.…
Mbabe wa unga ‘El Chapo’ anavyofanya Mexico hawalali… stori gerezani mambo yako hivi !!
Niligundua uzito wa ishu ya Joaquin "El Chapo" Guzman pale ambapo mpaka Rais wa Mexico, Rais Enrique Pena Nieto alipost Tweet ya ushujaa wa kumkamata El Chapo !! Sasa leo ni kama…
Wakati unafurahia ushindi wa Samatta, wako wakali 10 waliokosa magoli ya wazi.. mpaka Ronaldo yumo !! (+Video)
Tanzania sio ya muziki pekeyake, sio ya Big Brother pekeyake, Mwanambagala Mbwanna Samatta kaionesha dunia kwamba japo Timu za Taifa hazisogei kwenye headlines za kimataifa lakini na sisi tumo. Unajua…