Kama Guardiola akijiunga na Man City, kocha wa Man City Manuel Pellegrini anatajwa kuamua hivi …
Ni siku kadhaa zimepita toka kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola atangaze kuwa hatoendelea kuifundisha FC Bayern Munich, baada ya msimu kumalizika, bali ataendelea kutafuta…
Kichanga chaliwa na Mbwa, ya Maalim Seif, mrithi wa Dk.SLAA Je?…#MAGAZETINI
NIPASHE Wakati baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihitimisha jana vikao maalum vya kila mwaka kujadili yale waliyofanya katika mwaka, imefahamika kuwa sifa walau tisa anazotakiwa…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 11, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Iggy Azalea karudi na hii mpya baada ya ukimya wa muda mrefu; ‘Azillion’ – (Audio)!
Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Australia, Iggy Azalea amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani baada ya ukimya wa miezi kadhaa. Iggy Igz anaileta kwetu ya kwanza kutoka…
Cheki na parking ya Kichina gari inavyoingizwa chinichini ya ardhi.. (+Video)
Kama vile ambavyo kuna parking zipo katikati ya Dar es Salaam na miji mingine mikubwa Tanzania, parking ya ghorofani kabisa basi ujue kwamba iko na ya chini ya ardhi !!…
Mengine ya bomoabomoa? usafi wa Magufuli? viboko kwa wenye nguo fupi? #StoriKUBWA
Wakala wa vipimo kuanza kukagua mizani za wafanyabiashara TZ, watakaokwepa kupigwa faini... Wachungaji wa kanisa moja Mwanza wamtimua Askofu wao kwa tuhuma za ufisadi wa Milioni 500 za kanisa, msako…
Nyingine mpya yenye midundo yake tofauti kutoka kwa Jidenna; ‘Knickers’ – (Video)!
Kabla ya kufunga mwaka wa 2015, staa wa muziki kutoka Wondaland Records, Jidenna alizisogeza kwetu ngoma tatu mpya; Extraordinaire, Chief na Knickers. Time hii staa huyo wa 'Classic Man' anaileta…
Magazeti 20 ya Tanzania kwenye kurasa kubwa mbele na nyuma yameamka na hizi >> Udaku, Hardnews na Michezo
Good Morning mtu wangu !! January 11 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti 20 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu…
Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..
Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha…
Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016
Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya…