Hivi ndivyo wajelajela walivyowakatia Azam FC tiketi za boti kurudi Dar Es Salaam (+Pichaz)
Michuano ya Kombe la Mapinduzi January 7 imeendelea kwa mchezo wa tano wa Kundi B kupigwa wakati mwingine ukitarajiwa kupigwa usiku wa January 7. Mchezo wa tano wa kundi B…
Haya ni maamuzi ya kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya mpira wa miguu 'Twiga Stars' Rogasian Kaijage amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia leo baada ya kuomba kwa uongozi wa Shirikisho la Mpira…
G Nako amepoteza mil.6 kwenye kikao cha wasanii !! Ishu yenyewe ilikuwa hivi.. (+Audio)
Kwenye U Heard January 7 2016 Soudy Brown ana stori ya kusikitisha kidogo leo !! G Nako mkali wa chorus kutoka crew ya Weusi kwa bahati mbaya kapoteza pesa ambayo…
Picha 11 za kushuhudia mzigo wa mvua za El Nino ulivyofunga barabara Marekani..
Kama ulidhani mabalaa ya mafuriko huwa yanatokea Dar es Salaam pekeake au Tanzania pekeake, naomba nikwambie kwamba hilo lifute kichwani kwako !! Hata Marekani mzigo ukianguka wa kutosha, headlines za…
Ni kweli mwandishi kavujisha mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2015, hili ndio jibu la FIFA …
Michael Abbink ni moja kati ya waandishi wa habari mahiri ila aliingia kwenye headlines hivi karibuni kutokana na tweet aliyoweka katika account yake ya twitter kuleta maswali. Ikiwa bado siku…
Ubunifu wa picha za akina Beyonce, Rihanna, Nick Minaj kwenye vazi la kiafrika…
Nimekusogezea picha za ubunifu zilizochorwa na msanii mmoja toka Ghana ambazo wameonekana mastaa wa wanawake wa Marekani... hapa ni zamu ya kuwaona akina Beyonce, Rihanna, Nick Minaj na mwigizaji Megan Good wakiwa kwenye…
Haya ndio mambo saba ya kufahamu kuhusu tuzo ya mchezaji bora Afrika zitakazofanyika leo January 7 Nigeria
Bado saa zinasogea na kila mpenda soka macho na akili yake kaelekeza Abuja Nigeria kusubiri nini kitatokea, Mbwana Samatta atafanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika anayecheza Ligi ya…
Ya mtoto wa Karume na Dk.Shein, Operesheni ya raia wa kigeni, makusanyo TRA..#MAGAZETINI
MWANANCHI Mwanasheria wa kujitegemea nchini, Fatma Karume amemshauri Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein kuachia madaraka. “Dk Shein lazima aondoke kwa sababu kuendelea kubaki madarakani ni kuwanyang’anya Wazanzibari haki yao…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 7, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)
Alhamisi January 07 2016 imeanza na huu uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini, hizi ni baadhi yake na sauti niliyokurekodia. Oparesheni ya kutimua wageni wasio na vibali kuanza leo, bomoabomoa…