Sio Wakenya wote wanasupport WaTz kufungiwa Instagram… kuna hawa waliopinga kwa mashambulizi!!
January 5 2016 niliisogeza kwako stori ya Wakenya iliyoweka headlines kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo watu wengi walianzisha mjadala wa kuwataka Watanzania wote wafungiwe matumizi ya Instagram kutokana…
Deni la MSD, waliovamia shamba la SUMAYE, Bomoabomoa, mafuriko…#MAGAZETINI
MWANANCHI Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki amewataka waliovamia na kujigawia maeneo ya watu wengine likiwamo la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na aliyewahi kuwa Naibu…
Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii…(+Audio)
Kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na matumizi holele ya fedha za Serikali imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani, Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Arumeru…
Happy birthday Mr. Bean !! Leo ni siku yake, enjoy na vioja vyake kwenye video 3..
Jina lake kamili ni Rowan Atkinson, raia wa Uingereza ambaye ni staa wa movie na comedy pia duniani !! Unajua kitu kizuri kwa Mr. Bean anafanya comedy ambayo hata kama huelewi…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI ya leo Tanzania January 6, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Bomoabomoa Dar? Wanaotoa mimba? Nauli mwendokasi? Majipu ya Dk.Mwakyembe? (+Audio)
Magazeti ya January 6 2016 yako mtaani na hapa ninazo stori kubwakubwa zilizoguswa na uchambuzi wa Magazetini kwenye show ya Powerbreakfast Clouds FM... Waziri Mkuu Majaliwa awaonya madaktari wanaotoa mimba wasichana Ruvuma,…
Walichokiamua Wasanii kuhusu malipo ya nyimbo zao kwenye Tv na Redio..! (+Video)
Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa katika vituo vya Redio na Tv. Januari 5 2016 wasanii walikutana kulijadili…
January 6 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 06 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea…
Uhondo wa Kombe la Mapinduzi 2016, cheki video ya Mtibwa wakiwaadhibu Mafunzo …
Michezo ya Kombe la Mapinduzi iliendelea na ikafika time ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi B dhidi ya timu ya Mafunzo,…
Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana …
Mtu wangu wa nguvu kama kawaida naendelea kukusogezea kila kitu kinachonifikia kutoka Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Usiku wa January 5 ulipigwa mchezo wa nne wa Kundi B…