Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz)
Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati siku ya kwanza ya mwaka 2016 inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa…
Ninayo namba kamili ya mifugo iliyochinjwa kwenye sikukuu ya mwaka mpya Mwanza
Happy New Year mtu wangu popote ulipo... naomba ikufikie najua watu wangu tayari mmeshapata vitoweo vyenu kwenye hii siku iwe nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo hata kuku lakini huenda haufahamu…
Pichaz za Neymar, Ronaldo, Kevin De Bruyne, Lampard, Walcott na wengine walivyosherehekea mwaka mpya 2016 ..
Ikiwa ni siku ya kwanza katika mwaka 2016 yaani mwaka mpya, kila mtu amesherehekea kwa namna yake. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyosherehekea sikukuu…
Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video)
Tunasema asante kwa teknolojia kila siku kwa sababu ya vitu vizuri ambavyo tunakutana navyo vikikufikia na kurahisisha mambo mengi kwa sababu tu wataalam wamekaa na wamebuni kitu kizuri !! Unaambiwa…
Rekodi nane kubwa kwa leo >> kiboko wauaji, tembo wa Africa, treni kali Africa na mengine.. (+Picha)
Nimekutana na ripoti kwenye channel ya ETV ya South Africa ambayo imegusa vitu mbalimbali… kati ya simba na mnyama kiboko, yupi anaongoza kwa kuua binadamu ??!! Jibu lake ninalo hapa…
Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015
Haya mtu wangu wa nguvu wakati tunaendelea kusherehekea sikuku ya mwaka mpya 2016, ninayo list ya style 9 za nywele zilizotamba kwa mastaa wa soka wa Ulaya kwa mwaka 2015.…
Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz)
Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia... najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo…
Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido …
Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pande za Geita, Mwanza, Songea, Mbinga na Mbambabay, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 waliamua kwenda kutoa burudani ya nguvu…
Watu wa Dar es Salaam walivyouanza mwaka na msanii wa Nigeria..(+Picha)
Ni usiku wa kuamkia January 1, 2016 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walikutana na kuenjoy muziki mzuri kutoka kwa msanii wa Nigeria, Tekno uliofanyika katika ukumbi wa King…
Magazeti ya Tanzania January 1, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 1, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…