Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio)
Hivi karibuni Msanii Diamond Platnumz amekuwa akilitumia jina la Simba kama moja ya a.k.a katika maeneo mbalimbali hasa akiwa kwenye stage, Lakini hapa nakukutanisha na Msanii Mr. Blue akielezea watu…
Hii ndio klabu iliyotangaza kumsajili staa wa soka wa Brazil Ronaldinho …
Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kukipiga katika vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya, ikiwemo FC Barcelona ya Hispania na AC Milan ya Italia Ronaldinho amerudi katika…
Sentensi nne za Nape Nnauye zina majibu ya ishu ya Sheria ya mavazi iliyosambaa mitandaoni.. (+Audio)
Kulikuwa na taarifa ambayo imesambaa mitandaoni kuhusu ishu ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Moses Nnauye kutangaza kuhusu kupigwa marufuku baadhi ya aina ya mavazi kwa wanawake…
Hii ndio mipango ya Mwanza japo wameshika namba 3 matokeo ya darasa la saba
Zikiwa zimebaki wiki mbili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kufungua shule leo December 28 2015 Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameamua kukutana na watendaji wake…
Pichaz 10 za Man United wakiwasili Old Trafford kinyonge kuisubiri Chelsea …
Mtu wangu wa nguvu bado headlines za Man United zinaendelea kuchukua nafasi, baada ya kufungwa na Stoke City 2-0, na kuingia katika headlines ya kuvunja rekodi yao ya kufungwa mechi…
Songea hawana utani na agizo la usafi wa Rais Magufuli.. ukichafua mji wao hawakuachii !!.. (+Audio)
Stori ya aina yake ilitoka Tanzania December 09 2015, sherehe ya uhuru ikaadhimishwa kwa kufanywa usafi kila kona.. lilikuwa agizo la Rais Magufuli na yeye pamoja na viongozi wote wa…
Picha 15 muonekano wa Dar town na kamvua kidogo leo Dec 28
Najua kuna watu wangu wanapenda kufahamu hali ya mazingira yanavyokuwa katika kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka katika maeneo mbalimbali, Na tayari ripota wa millardayo.com amefanya kazi hiyo na…
China wameamua mabadiliko kuanzia January 2016 kuhusu idadi ya watoto kwa wanandoa..
Tunajua na imekuwa ikifahamika kwamba kwa kipindi kirefu China wamekuwa na utaratibu wa kila wanandoa au wapenzi kuruhusiwa kuwa na mtoto mmoja tu... japo China wana Sheria hiyo bado ni nchi…
Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio)
Musa Hussein leo kaikamata U Heard, na kibao kimegeuka pia mtu wangu !! Kama ulivyozoea Soudy Brown anavyowabana wengine kuhusu stori za chinichini leo kageuziwa kibao, ishu ni yeye na…
Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz….
Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake…