Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria…
Headlines za Dec 28 zinakwenda kwa Shilole ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa nchini Nigeria kwaajili ya show yake akiwa na Feza Kessy & Lina Sanga, sasa msanii huyo baada ya…
Fabolous kaja na video ya wimbo ‘She wildin’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa.
Rapper kutoka Marekani, Fabolous time hii ametusogezea hii video mpya ya single yake aliyomshirikisha Chris Brown iiwayo She Wildin, mtu wangu kama hukubahatika kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.…
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya…
Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio)
Kama umekuwa mfatiliaji wa stori za Magazetini wiki iliyopita kulikuwa na stori kubwa ambayo ilitawala sana kuhusu ishu ya ripoti za vipimo vya DNA kuwa kati ya walioenda kupima DNA imeonesha…
Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram
Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao 'Utanipenda'. Baada ya kusambaa…
Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)
Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa…
Video ya mzee aliyesafiri kwa miezi saba pekeyake baharini kutoka Marekani..
Kwenye vitu ama stori ambazo zimeonekana kukamata vichwa vya habari vya kimataifa kwa saa kadhaa mfululizo pamoja na mitandao mikubwa, iko pia stori ya mzee mwenye umri wa miaka 53,…
Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA
Jumatatu imeanza kwa uchambuzi wa stori za Magazetini, hapa ninazo baadhi ya stori hizo kwenye vichwa vya habari vyenye ukubwa wake. Mbunge Leticia Nyerere apumulia mashine baada ya hali yake…
Magazeti ya Tanzania December 28 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 28 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa…