Kwa kipigo cha Stoke City, huenda siku za Van Gaal Man United zikawa zinahesabika … (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 26 siku ya Boxing Day kwa michezo 10 ila mchezo wa awali ulikuwa kati ya Stoke City dhidi ya Manchester United katika dimba…
Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video)
Kuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe... pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo…
Agizo la Rais Magufuli linatiliwa mkazo, Songea leo ni usafi tu mwanzo mwisho.. (+Picha)
Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa. Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya…
Picha nne za Rais Magufuli kwenye ibada ya Christmas Dar…
HappyBoxing Day Mtu WANGU !! Jana December 25 2015 ilikuwa siku ambayo wakristo sehemu mbalimbali Duniani waliungana kusherehekea sikukuu ya Christmas... lakini haikuwa sherehe tu ya kukaa nyumbani na kusherehekea,…
Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)
Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye viwanja vya…
Magazeti ya Tanzania December 26 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 26 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Video ya Neymar alivyosherehekea Chrismass Brazil, kaperform kwenye Stage moja na Thiaguinho, cheki hapa ..
Kama unajiuliza mastaa wa soka wa Ligi Kuu Hispania watakuwa wapi wakati huu Chrismass, ukizingatia Ligi yao imesimama kidogo kwa ajili ya sikukuu ya Chrismass na Boxing Day, Neymar anatajwa…
Mpya: Kwa mara ya kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyolitikisa jiji la Tanga Dec 25
Harmonize ni moja kati ya wasanii walioibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki hapa nchini, achilia uwezo wa kuimba pekee..! bali namna pia anavyoweza kulimiliki jukwaa, ni wengi hawajawahi kumshuhudia…
Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …
Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009…
Picha 10 za mzigo mzima Yamoto Band walivyokamata stage Geita usiku wa Christmas..
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu zenye mvuto duniani kote, imekuwa kawaida kwa vijana na watu wa rika tofauti tofauti kusherehekea kwa namna yao ya kipekee. Yamoto Band…