TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …
Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo…
Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu kwenye hii interview!
Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Tyga ni miongoni ya wasanii wanaofunga mwaka wa 2015 na excluvise interviews na mitandao pamoja na majarida mbalimbali ya burudani... Nimekutana na…
Magazeti ya Tanzania December 23 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 23 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Wachezaji 10 wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli Ligi Kuu Uingereza msimu huu …
Kwa sasa Mesut Ozil hadi anaondoka ndani ya klabu ya Real Madrid ya Hispania na kujiunga na Arsenal ya Uingereza ndio alikuwa mchezaji anayeongoza kumpa pasi za mwisho Cristiano Ronaldo…
Dakika 1 na sekunde 58 za video ya Cristiano Ronaldo akionesha mjengo wake na sehemu anayoipenda …
Wachezaji soka wa Ulaya ni watu ambao wasiri sana katika maisha yao, kutokana na umaarufu wao mara nyingi wamekuwa wakifuatiliwa kwa kila kitu wanachokifanya, Cristiano Ronaldo staa wa timu ya…
Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio)
Leo Dec 22 2015 Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard. Hapa nimekusogeze dakika…
Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio)
Headlines za wanasoka wa kibongo kuulizwa kuhusu lini watastaafu kucheza soka zimekuwa zikiandikwa sana mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari, alianza kusikika nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania…
Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video)
Imekuwa ni kawaida kukumbushana vitu mbalimbali vinayohusu soka mtu wangu wa nguvu na leo December 22, nimeona sio vibaya nikikusogezea list ya mastaa wa soka waliotamba na ambao bado wanatamba kwa…
Exclusive ya Shilole: Allivyoolewa na dereva wa Lori, alivyokuwa Muhudumu Hotelini na alivyoagizwa kumtongoza Ray.
Kutana na Exclusive Interview ya mwimbaji wa bongofleva ambaye anatupa stori zake zote, za jinsi alivyokuja mara ya kwanza Dar es salaam baada ya kuolewa na dereva wa Lori akitokea…
Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame
Rwanda ni nchi ambayo ina watu zaidi ya milioni kumi ambapo moja kati ya sababu zilizofanya Rwanda wamkubali zaidi na hata kumpa kura nyingi za ndio kwenye mchakato wa kubadili…