Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya December 20 kwa michezo mitatu kupigwa. Dar Es Salaam katika uwanja wa Karume JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Coastal Union wakati…
Video na pichaz za ushindi wa FC Barcelona fainali ya klabu Bingwa Dunia, Messi na Suarez waingia nyavuni …
Michuano ya klabu Bingwa Dunia imeendelea tena kwa mchezo wa fainali kupigwa katika uwanja wa Nissan, mchezo wa fainali ya klabu Bingwa Dunia umepigwa kwa kuzikutanisha timu mbili klabu ya…
Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine
Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika…
Miss World 2015 imeisha na mshindi ameshatangazwa + Top 10
Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake…
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika…
Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura.
Ndege ya abiria ya Air France Boeing 777 AF463 iliyokuwa ikifanya safari yake kati ya Mauritius na Paris ililazimika kutua ghafla katika uwanja wa ndege wa Mombasa nchini Kenya baada ya kuwepo hofu…
Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …
Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa…
Wafungwa wailemea Serikali, Mauaji ya mlinzi TANAPA, Bei ya umeme kushuka, Hali ya joto…#MAGAZETNI
HABARILEO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi – Utumishi, kuwianisha mishahara ya…
Picha 7 za Mwanza walivyoanza kufanya shopping kwenye mall mpya ya Rock City
Watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza December 19 2015 walifanya shopping kwenye mall ya kwanza kujengwa kwenye jiji lao iitwayo "Rock City Shopping Mall" ambayo ilijengwa kwa zaidi ya miaka miwili.…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 20, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…