TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio)
Ni time ya kuisikiliza hii single mpya ya TID iitwayo 'Banjo' akiwa amewashirikisha Country Boy na Bill Nas. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa…
Camera zilivyonasa tukio la traffic anaburuzwa barabarani na bajaji China
Moja ya kazi ambazo ni za hatari sana duniani, kazi ya traffic nayo imo !! Barabarani kila mtu ana akili yake, nakumbuka moja ya matukio ya kusikitisha ambayo yalitokea Dar…
DC MAKONDA kawageukia wakandarasi wa barabara..Kuna ufisadi? stori iko hapa!!
Ile kauli ya Rais kuhakikisha anapunguza matumizi yasiyo yalazima kwa Serikali imeendelea kuchukua headlines, pia tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakisimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma Leo…
Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi….
Rapper kutoka kwenye zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2013, Edu Boy amenusurika kifo baada ya kuitwa mwizi maeneo ya Sinza wakati akitoka studio za Freenation kurekodi ngoma. Msanii huyo…
Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video)
Baada ya klabu ya TP Mazembe inayochezewa na washambuliaji wa wawili wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kutolewa katika mashindano ya klabu Bingwa Dunia katika hatua ya robo fainali…
Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo…
Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17
Taarifa ikufikie kwamba awamu nyingine ya bomoabomoa tayari imeendelea Dar es Salaam na kuna maeneo tayari imepita kukamilisha zoezi hilo. Kuna watu wamejenga maeneo ya wazi, wako waliojenga kwenye maeneo…
Ni time ya Chege kuzimiliki headlines za MTV Base leo Alhamisi Dec 17…
Ile video ya wimbo mpya wa Chege Chigunda aliowashirikisha msanii wa Nigeria Runtown na Uhuru itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo Dec 17, 2015 saa 12 jioni za Afrika Mashariki kupitia kituo…
Chris Brown anaisogeza ‘Little More’ single special kwajili ya mwanae Royalty – (Audio)!
Baada ya kuisogeza kwetu Anyway, Chris Brown amerudi tena na nyingine mpya! Wimbo unaitwa 'Little More (Royalty)' na ni single special kwajili ya mwanae wa mwaka mmoja na nusu, Royalty.…
Dakika 4 za kuenjoy ngoma ya bendi ya wafungwa Malawi waliotajwa Tuzo za Grammy.. (+Video)
Kama ulikuwa karibu na radio yako jana December 16 2015 moja ya stori kubwa iliyosikika kwenye AMPLIFAYA ilikuwa ni hii inayohusu bendi ya wafungwa kutoka Malawi iliyotajwa kuingia kwenye Tuzo…