Christina Milian kamuweka Snoop Dogg kwenye hii mpya; ‘Like Me’ – (Video)!
Christina Milian anaendelea kuzisogeza videos zinazopatikana kwenye Extended Play (EP) yake, 4U... Baada ya kuachia ngoma na rapper Lil Wayne, time hii Christina anaisogeza kwetu nyingine mpya pembeni akiwa na…
TBT:Picha 10 za Diamond Platnumz, Nancy Sumary, Babu Tale, Izzo, Ommy Dimpoz, Rais MAGUFULI enzi hizo….
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi…
Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!
Kwa siku ya tatu mfululizo staa wa muziki Chris Brown amekuwa akizisogeza videos kutoka kwenye album yake mpya, Royalty... jana December 16 2015 staa huyo aliileta kwetu Wrist kwenye video…
Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agnes Masogange!
Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agnes Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido…
Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!
Msanii kutokea Marekani, Nicki Minaj jana aliziandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya taarifa kusambaa kuwa amepigwa stop kwenda kutoa show Angola jumamosi ya tarehe 19 December wiki hii,…
Magazeti ya Tanzania December 17 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 17 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa …
Klabu ya Chelsea ya Uingereza ni miongoni mwa vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake, klabu hiyo ambayo inamilikiwa na bilionea wa kirusi Roman Abromavich imekumbana na wakati mgumu msimu huu, baada…
Top 10 ya Rnb ya Trace TV December 17,2015….(+Video)
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha…
Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)
Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda…
Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa…..
Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa…