Coco Beach ikauzwa, barabara mbovu Kinondoni, moto wa Rais Magufuli umemfikia Mkurugenzi Dec 15
Ukikaa karibu na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumekuwa na ripoti mpya kila wakati na kadri zinavyonifikia na mimi nahakikisha hupitwi hata kidogo. Kama unakumbuka December 03 2015,…
Saa 48 zilizotangazwa na waziri mpya wa kilimo Tanzania …
Ikiwa bado siku moja zitimie siku saba toka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la Mawaziri, tayari mawaziri waliotangazwa tumeona wakichapa kazi na…
ON STAGE After School Bash: Tazama walichokifanya Navy Kenzo, Jux, Baraka, Young D, Mirror, Ruby na wengine
Ni kutoka kwenye After Skul Bash December 12 2015 Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo mastaa kibao wa muziki Tanzania walitokezea kwenye stage wakiwemo Navy Kenzo, Jux, Ruby, Baraka…
Exclusive Interview: Berry Black hajasikika kitambo, haya ndio mapya kutoka kwake…(+Video)
Ni muda sasa tangu kusikika kwa headlines za wasanii Berry Black & Berry White ambao walikuwa wakijulikana kama '2 Berry' mara baada ya kuachia hit song ya 'Na wewe tu'…
Baada ya kudhibitiwa na Mgambo Dec 12, Yanga yafanikiwa kuondoka na point 3 dhidi ya African Sports
Jumatano ya December 16 Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Mkwakwani Tanga. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara klabu ya Dar Es…
Cover ya ‘Hello’ iliyoimbwa kwa Kiswahili yapokea pongezi kubwa… imewagusa mtandao huu wa Marekani!
Ujio wa Adele kwenye headlines za muziki umekuwa moja ya matukio makubwa kwenye kurasa za burudani kwa mwaka huu wa 2015. Baada ya ukimya wa miaka minne, Adele alirudi kuchukua…
Mimi leo nimedata na hizi nyumba mbili tu… kuanzia sebuleni mpaka vyumbani! ( picha )
Kama kwa wengine wanaodata wakiona magari makali au vitu vingine vya dunia, na mtu wako wa nguvu anadata akiona nyumba kali au zilizojengwa kimpangilio..... leo nimekutana nazo hizi nikasema niwaonyeshe…
Hii ndio kauli ya Louis van Gaal iliyomuondoa Chicharito katika klabu ya Man United …
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa sasa Javier Hernandez Chicharito amefunguka kwa nini aliamua kuondoka Man United. Chicharito ambaye aliondoka Man…
Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15
Bado Rais Magufuli anaendelea kuipanga Serikali ya awamu ya tano ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwenye utawala wake na kazi inakwenda. Tuhuma za rushwa na ubadhirifu zimekuwa nyingi, baada ya…
Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa
Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006. Akiongea exclusive interview na ripota wa…