Adele kafanya exclusive na kasema haya kuhusu single yake mpya ‘Hello’, umaarufu & social media!
Kati ya wasanii ambao mwaka huu umetokea kuwa poa sana kwao huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki kutoka Uingereza, Adele... Hivi karibuni Adele aliziteka headlines na ujio wa…
Z Anto kurudi kwenye bongo fleva? kamtaja atakayesimamia kazi zake…..
Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mkali ambaye alishawahi kumiliki hit single ya 'Binti Kiziwi'. Msanii huyo akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com alisema kuwa ana…
Wakati Van Gaal analalamikia kiwango cha Schweinsteiger, FA wamuongezea Stress Schweinsteiger kwa adhabu hii …
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayachezea klabu ya Manchester United ya Uingereza Bastian Schweinsteiger ameingia katika headlines baada ya shirikisho la soka Uingereza (FA) kumfungia mechi tatu. Bastian Schweinsteiger amekumbana na adhabu…
Marekani imemkubali Wizkid, kaibuka kwenye collabo nyingine… R. Kelly Feat. Wizkid- ‘I Just Want to Thank You’ (Audio)
Najua ukitaja majina ya mastaa ambao wameingia kwenye headlines kubwa 2015 kwa kukubalika kwa uzito mkubwa Marekani, Mnigeria Wizkid nae yumo. Sio kitu rahisi staa wa muziki kutoka Afrika kuomba…
Michelle Obama amekuwa rapper ??!! Mcheki kwenye video yake kabisa..
Unadhani ni stori ya kawaida eti kukutana na mke wa Rais anaimba rap ?? Mrs Obama ameingia upande huo !! Hiki ni kipande cha video ya dakika 2 cha wimbo…
Mambo manne ya kufahamu kutoka kwa Nicki Minaj >>> ‘Ndoa, muziki, siasa na mapenzi’
Staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Nicki Minaj maarufu pia kama The Rap Queen anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuchaguliwa kwenye vipengele vitatu vya…
Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa. In…
Sentensi za Angelina Mabula baada ya kuteuliwa nafasi ya unaibu waziri na Rais MAGUFULI…
Dec 10 Rais wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli aliteuwa rasmi baraza la mawaziri, miongoni waliotajwa ni mbunge wa Ilemela Angelina Mabula ambaye aliteuliwa katika nafasi ya naibu waziri…
Magazeti ya Tanzania December 11 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 11 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…
Achana na headlines za Ronaldo kuvunja rekodi yake ya UEFA, hizi ndio rekodi zake 10 za soka zinazo sisimua …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mchezo dhidi ya Malmoe FF wa kuhitimisha mechi za Makundi…