Hizi ndio mechi 16 zitakazoamua ni timu ipi itatinga hatua ya 16 bora ya UEFA December 8 na 9 …
Hatua ya makundi ya mechi za Klabu Bingwa barani Ulaya inamalizika leo Jumanne ya December 8 na Jumatano ya December 9 kwa mechi 16 kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya,…
Matatu kutoka kwa Jaji Lubuva kuhusu Uchaguzi wa wabunge Tanga na Arusha..(Audio)
Zikiwa zimebaki siku chache za kupiga kura kwenye uchaguzi wa wabunge Tanga & Arusha..,sasa hapa ninakusogezea kile kilichozungumzwa na Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kuhusiana na chaguzi hizo.…
Kingine kilichonifikia leo kuhusu mwanariadha Oscar Pistorius..(Video)
Mwanariadha Oscar Pistorius ameendelea kukaa kwenye headlines!! ikiwa ni siku chache tangu hukumu yake itoke, na kushtakiwa kwa mauaji ya kukusudia, kuna hiki kingine kimenifikia kuhusu kesi yake. Jaji anayesimamia…
Video ya dakika 2 yenye tathmini ya siku 30 za Rais Magufuli ndani ya Ikulu..
Naomba zianze na hizi rekodi kuweka mambo sawa mtu wangu >>> Tume ya Uchaguzi NEC ilimtangaza Rais Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha Urais siku ya October 29 2015, siku…
Video zenye maneno ya Koffi Olomide kuhusu Diamond na Bella… Nay wa Mitego kuhusu Magufuli
Ni video mbili zenye news, ya kwanza ina msanii Koffi Olomide kutoka Congo DRC ambaye ametua Tanzania jana Dec 7 2015 kwa ajili ya show yenye selfie 16 kusherehekea miaka…
Omarion hajafurahishwa na nominations za The 58th Grammys Awards… cheki alivyoandika!
Jana Jumatatu tarehe 07 December 2015 Tuzo za Grammy zilitangaza orodha ya wasanii waliofanikiwa kuingia kwenye nomination list ya tuzo za 58 za Grammy yani The 58th Grammy Awards huku…
Hivi ndivyo Yanga walivyojiandaa kuikabili Mgambo Shooting Jumamosi ya Dec 12 (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena weekend ya December 12 baada ya kusimama kwa Ligi hiyo kwa zaidi ya wiki tatu, wakati Simba Sports Club wakiwa wameweka kambi visiwani…
Wakenya walivyoshikia bango safari za Rais Kenyatta nje ya nchi…
Wakati Rais Magufuli akiendelea kujadiliwa kila kona ya dunia kutokana na maamuzi ambayo amekuwa akiyafanya ndani ya siku 30 tangu amekuwa Rais, Kenya kuna stori ambayo iko tofauti kidogo kumhusu…
Mjue aliyemsukuma Sean Paul kupeleka muziki wake kwenye soko la Marekani…
Sean Paul a.k.a King of Dancehall ni miongoni ya wasanii wachache kutoka Jamaica walioweza kutoboa anga na kuliteka soko la muziki la Marekani... umaarufu wake Marekani ulisukuma jina la Sean…
Rais MAGUFULI na ‘kutumbua majipu’, Mbunge Esther Bulaya Mahakamani, Mnyika na ripoti ya TPA.. #MAGAZETINI
NIPASHE Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Esther Bulaya, anatarajiwa kutinga Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo baada ya kufunguliwa kesi ya madai ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi…