John Legend anaisogeza ‘Under the Stars’ mpya kwa ajili ya Christmas & Mwaka Mpya! – (Audio)
Akiwa anasubiri ugeni wa mtoto wake wa kwanza, msanii wa R&B, John Legend amerudi na nyingine mpya kwa ajili ya msimu wa mwaka huu wa Christmas na Mwaka Mpya ikiwa…
Christina Milian na Lil Wayne wanaisogeza ‘Do It’ kwenye hizi dakika nne! – (Video).
Mapenzi kati yao yanaweza yakawa yameisha lakini Christina Milian na Lil Wayne bado wana connection nzuri sana kibiashara na kimuziki. Baada ya kuachia single ya Do It inayopatikana kwenye EP…
Fedha za Uhuru kupanua barabara, Rais Magufuli na Lipumba, TRA na UDA + Vikao, Posho za Wabunge? – (Audio).
Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? Inawezekana hukuzipata zote zilizoweka headlines kwenye kuperuzi na kudadisi asubuhi hii... kama ilikupita hizi ni dakika 20 za zile zote kubwa za leo. Fedha…
Magazeti ya Tanzania December 1 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 1 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Pichaz 19 za utowaji na washindi wa tuzo za LALIGA 2014/2015, wapo pia Messi, Neymar, Ramos na Rodriguez …
November 30 2015 ilikuwa ni siku ambayo FIFA walitangaza majina ya wachezaji soka watatu waliofanikiwa kuingia katika fainali ya kuwania tuzo ya Ballon d'Or 2015, pamoja na kutaja magoli matatu…
Rekodi 5 za Lewandowski ndani ya Bundesliga na kuingia katika kitabu cha Guinness World Records …
Mshambuliaji wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Robert Lewandowski ameingia katika headlines baada ya kuweka rekodi iliyoingia katika kitabu cha Guinness World Records. Robert Lewandowski ambaye amekabidhiwa vyeti vyake na Guinness World Records…
Kwenye zile Ahadi za Said Fella,hizi ndizo kaanza kuzitekeleza Kwenye Kata yake.
Hiki kimekua ni kipindi cha kutazama yote yaliyoahidiwa na Wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye nchi yetu ya Tanzania baada ya kutoka kwenye mbio za Uchaguzi Mkuu 2015,kwenye kasi ya…
Baada ya stori za kuvunja mkataba wake, Andry Coutinho katua Dar, huu ndio msimamo wa Yanga (+Audio)
Headlines za usajili katika soka bado zinachukua nafasi katika dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kama utakuwa unakumbuka vizuri November 25 mkuu wa idara ya habari…
Video ya Tanzania inayoendelea kushika chati Top 10 ya Trace TV.. (+VIDEOS)
Tayari nimezipata Urban Hit Top 10 za kituo cha kimataifa nchini Ufaransa Trace Tv, ambapo leo November 30, 2015 hesabu zimekamilika. Lakini jambo zuri zaidi ni kwamba Tanzania pia ipo katika…
Bado siku 15 dirisha la usajili lifungwe, Azam FC wamefunga usajili wao kwa kunasa saini ya staa huyu ….
Headlines za usajili zinazidi kuchukua nafasi kwa mwezi November hususani katika kipindi hiki cha usajili cha dirisha dogo, ikiwa zimesalia sio zaidi ya siku 15 ili iweze kufikia December 15 dirisha…