Picha tatu za Rais Magufuli na Prof. Lipumba ndani ya Ikulu Dar es Salaam leo..
Leo November 30 2015 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba Ikulu…
Tafsiri ya gazeti la China lililomuandika Rais John Pombe Magufuli.
Kuanzia wiki iliyopita zilianza kusambaa picha za gazeti lenye maandishi ya Kichina ambalo lilikua na picha ya Rais mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, nikaamua kuchukua time kumtafuta Mchina…
Mrembo Lilian Kamazima na warembo 10 kwenye mavazi ya kiafrika ndani ya Miss World… +Pichaz
Countdown ya siku kuielekea December 19 2015 siku ya fainali ya Miss World 2015 inazidi kusonga ambapo mpaka sasa ni kama wiki mojahivi imepita toka warembo wetu wanaowakilisha kwenye mashindano…
Taasis za umma zilivyojipanga kutekeleza maagizo ya Rais MAGUFULI…
Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli ameendelea na operesheni yake ya kuhakikisha anaondoa matumizi yasiyo ya lazima katika taasisi mbalimbali za Serikali. Ukiachia kufuta safari zisizo za lazima…
Rais Magufuli kaamua Bilioni zilizokua zitumike sherehe za uhuru 9 Dec matumizi yake yawe kama ifuatavyo.
Kwa sababu tayari Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza kwamba sherehe za Uhuru siku ya December 09 2015 hazitokuwepo, ninayo taarifa nyingine kuhusu maamuzi mengine ya pesa ambazo zilitengwa kwa…
Majibu ya Drake baada ya kusikia Adele angependa kufanya ‘remix’ ya Hotline Bling!
Baada ya Adele kuonyesha nia ya kutaka kufanya remix ya Hotline Bling, kumekuwa na minongono juu ya mtazamo wa Drake kwenye ishu hiyo, watu wengi ikiwa mashabiki wamekuwa wakitaka kujua…
Andy Murray kaipa headlines Uingereza baada ya kutwaa ubingwa huu..(Video)
Uingereza imeingia kwenye headilines baada ya mcheza tenis bora duniani Andy Murray kutwaa ubingwa wa michuano ya mchezo huo maarufu kama Davis Cup. Timu ya Uingereza imetwaa taji hilo kwa…
Kobe Bryant anastaafu basketball Marekani? Ikufikie hii kutoka kwake leo..
Jina la Kobe Bryant ni moja ya majina ya mastaa wakubwa duniani ambao hata kama sio mfuatiliaji wa mchezo wa basketball, huenda ukawa unalifahamu pia.. uzito na ustaa wa jina…
Hakitupwi kitu hapa !!… zile chupa unaziona takataka, Nigeria wamejengea mpaka nyumba.. (+Pichaz)
Maisha yanabadilika kila siku, zamani ilikuwa ukikutana na chupa au makopo ya maji au juice unayaona takataka... sasahivi ni dili na watu wameweka nguvu zao kabisa kukusanya makopo na kuyauza…
Matatu niliyoyapata kwenye hukumu ya Sheikh Ponda Morogoro leo…
Hii taarifa tayari imeripotiwa mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari kutoka Mkoa wa Morogoro ambapo inahusu kutolewa kwa hukumu ya Sheikh Issa Ponda ambaye ameachiwa huru baada ya kukutwa…