Yamoto Band wanaikamata Nigeria time hii wako na Yemi Alade…(Audio)
Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefunguka na kusema kuwa tutarajie collabo mpya waliyoifanya na msanii kutoka Nigeria Yemi Alade.…
Breaking: Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim kaamuru waliohusika na hii wakamatwe na Polisi.
Ni headlines ndani ya kazi ya Rais mpya kwenye awamu ya tano ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ambaye kila siku amekuwa kwenye headlines kwa kukata…
Chris Brown anaisogeza ‘Fine By Me’ kutoka kwenye Album yake mpya – (Audio).
Baada ya kutoa performance iliyowafuraihsa mashabiki wake wengi kwenye kipindi cha The Tonight Show, Chris Brown amerudi kuzikamata headlines za weekend hii na single nyingine inayopatikana kwenye Album yake mpya…
Nuh Mziwanda alivyotaka kuingizwa kwenye biashara ya dawa za kulevya
Najua kuna wakati unatamani kufahamu changamoto wanazopitia wasanii wa Bongo Fleva sasa time hii nakusogezea stori ya Nuh Mziwanda ambaye yeye amefunguka na kukiri kukutana na changamoto ya kutaka kujihusisha…
BreakingNews: Ziara nyingine ya kushtukiza bandarini Waziri mkuu Majaliwa….
Hii inakuwa ziara ya tatu kwa viongozi wa juu wa Tanzania kufanya Ziara za kushtukiza katika ofisi na wizara mbalimbali za Serikali. Tulishuhudia siku ya pili baada ya Rais Dr.…
Milango ya Cinema Dar na Arusha leo ziko hizi kali saba, ya Jennifer Lawrence ndani……..
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam na Arusha ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni…
‘Hashtag’ mpya ya Rais Magufuli ilivyokamata Twitter!
Utendaji kazi wa Rais Dk. John Magufuli umekuwa topic kubwa sana kwenye mitandao mbalimbali ya Tanzania na nchi za jirani... Mwanzoni nilikusogezea tweets za Wakenya zikimgusa Rais Magufuli kwenye kona…
Kassim Mganga Feat. Christian Bella wametusogezea kitu videoni- ‘Subira’
Hii ngoma ni hit ambayo kwa sasahivi imekamata kila kona, kuanzia radio stations, majumbani, kwenye daladala, bajaji bodaboda na maeneo mengine yote !! Kama uliisubiri video ya 'Subira' kwa hamu,…
Bingwa wa sura mbaya kapingwa Zimbabwe.. cheki maneno ya wanaompinga sasa !!
Hii stori imebeba uzito wake mkubwa tu, hicho kitu kilifanya vyombo vya habari vikubwa duniani kama CCTV, BBC na CNN kuripoti kuhusu stori ya shindano la watu wenye sura mbaya…
Umeshawahi kununua ulichokipenda alafu ukalipa baadae? pitia hapa BlackFriday!
Leo ni Furahi day... itendee haki kiu yako kwa kununua vitu online, tembea na kasi ya mwaka 2015 kwa kununua vitu vyako kwenye mtandao wa uhakika wa jumia.co.tz ambao wameamua…