Pichaz 7 za Private Jet ya Cristiano Ronaldo aliyoinunua kwa zaidi ya bilioni 44 za kibongo
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo anaripotiwa kutumia mkwanja mrefu kununua ndege binafsi, Staa huyo anayeongoza katika list ya rekodi ya…
Baada ya miaka 7 Man United Evra ndio amegundua chakula kilichokuwa kina mdhuru
Wakati mwingine katika maisha unaweza pata matatizo ya kiafya na baadhi ya wataalam wanaweza kusema kuwa unaumwa hiki lakini ukawa ni uchunguzi batili. November 12 beki wa kimataifa wa Ufaransa…
Full Time ya Togo Vs Uganda November 12, huku Vincent Bossou wa Yanga kule Hamisi Kiiza wa Simba
Ikiwa jiji la Dar Es Salaam kwa upande wa wapenda soka wote wanautazama au kuusubiri mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2018 Urusi, mchezo ambao utahusisha…
Hizi ndio sifa za mpira maalum utakaotumika katika michuano ya Euro 2016 (+Pichaz)
Kuelekea michuano ya mataifa ya Ulaya yatakayofanyika mwaka 2016, shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza mpira maalum kwa ajili ya kutumika katika mashindano hayo, mpira wa utaotumika katika mashindano hayo…
Baada ya Ronaldo kutaja Top 5 ya wachezaji bora,Pique ametaja first 11 ya Dunia, Ronaldo yumo? …
Ikiwa ni siku chache zimepita toka staa wa klabu ya Real Madrid ya Hispania na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo kutangaza majina matano ya wachezaji wanaochipukia ambao yeye…
‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..
Kwenye show ya XXL alhamisi ya November 12 2015 mgeni aliyealikwa alikuwa ni Alikiba ambaye alikuja kuzindua mdundo wa ngoma mpya ambayo wameshirikiana na Christian Bella... lakini kuna story za…
Kabla mabasi ya mwendokasi hayajaanza uyajue haya, ukifanya uzembe unalipa !!
Mradi wa mabasi yaendayo kasi Dar es Salaam DART uko katika hatua za mwisho kukamilika na kuanza kutumika kama moja ya njia za kurahisisha usafiri katikati ya Jiji. Nimempata Kaimu…
Ty Dolla $ign haishiwi na midundo, nimeinasa nyingine mpya kutoka kwake; ‘Violent’ – (Video)!
Zimebaki siku mbili tu mpaka Ty Dolla Sign aidondoshe Album yake mpya Free TC, lakini tukiwa tunaendelea kuihesabu countdown kufikia uzinduzi wa Album hiyo, msanii huyo wa Hip Hop anaileta…
Kwa watu wangu wa HipHop, hii ni nyingine mpya kutoka kwa Young Jeezy, ‘Round Here’ – (Video)!
Rapper Young Jeezy anaendelea kuzisogeza single zake kutoka kwenye mixtape yake ya Politically Correct mixtape, kwa siku 13 za mwezi huu wa November, Young Jeezy atakuwa anaachia single mpya kutoka…
Olamide amerudi na mdundo mpya, ‘MVP’ na video yake imenifikia – (Video)!
Baada ya kushirikiana na Davido kwenye ngoma yake mpya, msanii wa Nigeria kutoka lebo ya YBNL, Olamide amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani. Kutoka kwenye album yake ya Street…