Kutoka kwenye mixtape yake ya Slime Season 2, Young Thug anaileta ‘Thief in the Night’ – (Video).
Wakati single mpya ya Future 'Last Breath' ikiendelea kuweka headlines kwenye mtandao wa Twitter, msanii mwengine wa HipHop, Marekani, Young Thug ameona asiwe nyuma sana kwenye headlines nyingine za burudani…
Future kaja na hii mpya, na angependa ikufikie, ‘ Last Breath’ – (Audio).
Mkurugenzi na msanii kutoka kwenye lebo ya Freebandz, Future amerudi kuziweka headlines za burudani siku ya leo, baada ya kuisogeza kwetu DS2 na nyingine msanii huyo wa HipHop amerudi tena…
Wiki nne za Lilian Miss Tanzania na warembo wengine 120 ndani ya China kuelekea #MissWorld2015
Najua ni kazi yangu kuhakikisha uko karibu na kila stori kubwa mtu wangu, kutoka kona zote... kila inaponifikia na mimi nahakikisha naisogeza kwako !! Ninayo nyingine ambayo nimefikishiwa kutoka Kamati…
Uchaguzi unaendelea Tanzania, ratiba nyingine ni hii inaanza Jumapili November 15
October 2015 utakuwa mwezi wenye historia kubwa ambayo haitojirudia mpaka miaka mingine mitano ipite, hiyo ni kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Tanzania... kinachoibeba historia hiyo ni ishu ya…
Ndoa ya watoto Katavi, Bibi harusi apatikana,Mawaziri wa CCM, hukumu ya askari wa JWTZ…#MAGAZETINI
NIPASHE Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro (UVCCM), Yasini Lema, ‘amefunguka’ kuhusu mchakato wa uchaguzi mkuu uliopita namna ulivyokiathiri chama hicho na kukifanya kipoteze majimbo…
Membe na Rais JPM, NEC kurudia Uchaguzi? Polisi na ndoa ya watoto Katavi? Traffic na rushwa?
Good Morning mtu wangu, Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? Kazi yangu siku zote ni kuhakikisha zile zote kubwa za siku zinakufikia, hizi ni baadhi ya stori zilizoguswa kwenye Uchambuzi redioni.…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Novemba 11, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Kama Samatta angekuwa mbele ya Rais Kikwete sasa hivi angefanyiwa hiki (+Audio)
Klabu ya TP Mazembe kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afrika sio furaha kwa wakongo wenyewe hata watanzania wamefurahishwa kuona TP Mazembe wakitwaa taji hilo huku kukiwemo na mchango wa wachezaji wawili…
Video: siku moja baada ya Rais Magufuli kwenda Muhimbili Hospital
Kila kitu utakutananacho ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=XRn8uvTFU3Q Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda…
Maamuzi ya jeshi la Polisi baada ya huyu Askari wa Tanga aliyenaswa kwenye video
Novemba 9, 2015 kulikuwa na headlines kwenye mitandao mbalimbali baada ya video kusambazwa na wasiojulikana ikimuonyesha Askari wa usalama wa barabarani Anthony Temu kutoka kituo cha polisi Kabuku Tanga akichukua rushwa…